Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

Kwa nyanda papa kindoki ata akipewa kipofu anapopoa kunyavu
Mimi ni mnazi wa Simba lakini nimeota jana Mechi itaisha kwa droo ya 1-1

Simba wataanza kufunga alafu Yanga watasawazisha. Mwishoni Simba watapata penalty ambayo bahati mbaya wataipoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Eti boxer! yule anayecheza mpira bila ufundi hata tone moja, hamna beki chochoro kama yule kwa forward mwenye akili kama Okwi mark my words ntakuquote tena baada ya mechi ya kesho.
Kawaulize Ruvu shooting walimchezea rafu Mara 10
 
IMG_20190216_130715.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimeshajiandaa kisaikolojia kuwa leo Yanga tunalambwa.Sina uhakika ni kipigo heavy aua simple ila hatuponi kabisaa
 
Ndugu zangu wa sc SIMBA na watani zangu tusubiri mechi iishe mwenye
Kuelekea pambano la kukata na shoka Jumamosi Februari 16, 2019 la watani wa Jadi (Kariakoo Derby) katika mfululizo wa Ligi Kuu ya Tanzania 'TPL' Simba SC Mnyama, Wekundu wa Msimbazi dhidi ya Yanga SC Vijana wa Jangwani, ni kama kusema tayari Yanga ameshafungwa, yaani wamekwishapoteza mchezo huo wa TPL.

Wa kimataifa Original Simba SC Taifa Kubwa


Ni kutokana na ubora wa kikosi cha Simba SC, na thamani yake pamoja na safu hatari ya ushambuliaji ikiongozwa na Streika Matata uwanjani Meddie Kagere MK 14, akiunda Muunganiko wa Emmanuel Okwi, John Bocco na kiungo mshambuliaji ambaye anaudambwi mwingi mpaka anakuwa Kero uwanjani Cleoutus Chota Chama 'Triple C'

Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa

Kocha Patrick Aussems baada ya ushindi dhidi ya Al Ahly SC katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) amesema umewaongezea morali Vijana wake kabla ya kuwavaa Vijana wa Yanga akiweka wazi mipango ya kumaliza kazi ya kuwasambaratisha watani hao mapema kabisa.

Simba iliitambia Al Ahly ya Misri kwa kuifunga bao 1-0 na kurudia ilichokifanya timu hiyo katika michuano ya CAFCL miaka 33 iliyopita katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kwa muktadha huo 'ikiwa mwarabu amefungwa basi Vijana wa Jangwani watatepeta kama mate ya mlevi, Simba imechapwa Klabu bora inatakuwa Vijana wa Jangwani bhana' na hasa ukizingatia Septemba 30 ilikuwa tia tia maji mwana ukome kufuata wakubwa. Ushindi ndo lengo letu la kwanza iwe Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) au Tanzania Premier League TPL..

Tukutane National Stadium kwa MCHINA kama unaweza kuzuia kipigo cha kufedhehesha.View attachment 1022213View attachment 1022214View attachment 1022215

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu wa. Simba na watani zangu yanga tusubiri mpira uishe kisha tutambiane harafu ushauri wa bule tusipende sana tukajiua tuwe makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende kwa mkapa tuone
Nashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom