Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

Aliyekuambia wachezaji wa simba watadharau mechi ya yanga ni nani?.. wewe ndio uko kichwani mwao? wewe ni benchi la ufundi?... Acheni porojo
 
Nashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
Eti boxer! yule anayecheza mpira bila ufundi hata tone moja, hamna beki chochoro kama yule kwa forward mwenye akili kama Okwi mark my words ntakuquote tena baada ya mechi ya kesho.
 
Wanao jipa moyo kwamba yanga itaifunga simba wanajidanganya nafsi zao.

kwa yanga hii. Haina uwezo hata kidogo wakuifunga simba. Sote tumeziona mechi za yanga ukweli imekua ikibahatishatu kushinda na siyo timu yenye uwezo mkubwa kama simba uwanjani.

kesho mashabiki wake watapoteana uwanja wataifa zile hamsa zitawahusu.
 
Nashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
Unafananisha Juuko Murshid na taka taka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiungo kufunga Mara kwa Mara ni added value kama Casamillo..Msimu wa 2016-2017 Tambwe alifunga double digits..msimu uliopita alikuwa injury.. Amerudi tena..unafikiri kwa nini Amunike anampa nafasi.Feisal kuliko Mkude?ameona bright future kwake
Huyo emunike si Kichaa Kama wachezaji anaowapanga
Kwahiyo Yule ally mtoni anaempanga kumuacha Yondani nje ndio unamuona kocha huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiungo kufunga Mara kwa Mara ni added value kama Casamillo..Msimu wa 2016-2017 Tambwe alifunga double digits..msimu uliopita alikuwa injury.. Amerudi tena..unafikiri kwa nini Amunike anampa nafasi.Feisal kuliko Mkude?ameona bright future kwake
Kiungo kufunga Mara kwa Mara ni added value kama Casamillo..Msimu wa 2016-2017 Tambwe alifunga double digits..msimu uliopita alikuwa injury.. Amerudi tena..unafikiri kwa nini Amunike anampa nafasi.Feisal kuliko Mkude?ameona bright future kwake
 
Nashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
Nmecheka hapo kwenye Ngasa vs Okwi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG-20190213-WA0012.jpeg

Jr[emoji769]
 
Kwa sie wahenga tulikua tukisemaga ni TAIFA KUBWA v/s UMOJA WA MATAIFA.
 
Back
Top Bottom