Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #61
Hakuna aliyebisha..Timu bora ndo itapata matokeo ya ushindi Taifa, nayo inafahamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliyebisha..Timu bora ndo itapata matokeo ya ushindi Taifa, nayo inafahamika.
Mnaanza visingizio mapema baada ya kusikia kituo kinachofuata ni Jangwani...This Is SimbaMchezo wenu wa kupulizia dawa vyumbani vipi...kesho mtafanya kama kwa waarabu???
Kwa mpira upi ulionao wa kukuletea visingizio? Butua butua siyo
DOOOH. Wacha yangu yawe macho na masikio tu maana kwenye huu uzi nitayaona mengi hasa kutoka kwa Watani zangu hali ya kuwa hata mpira haujachezwa bado. Teh
Haya Mujitahidi Mujae Uwanjani basi msiishie hapa.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Mmepigwa tano Congo mkaongoza ball possession... School boy footballKwa mpira upi ulionao wa kukuletea visingizio? Butua butua siyo
Subirini tuwakaange..SimbaNguvuMoja
Sent using Jamii Forums mobile app
we ni mchezaji?Tutawapiga kama hawana wazazi vile, bora wasije tu hata uwanjani
Shiza kaondoka nani atabeba majiniKituo kinachofuata ni 'JANGWANI'...!
Tambwe hayo magoli mengi kayafunga lini? Miaka miwili ya mwisho kafunga mangap, wachezaji hukua viwango na kufa Huwez kutumia kumbukumbu ya 2014 kuelezea ubora wa mchezaji 2019, mkuda na Feisal ni viungo na viungo wana roles zao uwanjani hawapimwi kwa magoli. Unasema watu wapinge kwa hoja wakat na ww hauna hojaNashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
Mkapa ni MTU wa Malawi kama mmeamua kuugawa uwanja wetu Kwa watu wa Malawi Sawa!
Sasa si bora mtu wa Malawi kuliko wachinaMkapa no MTU wa Malawi kama mmeamua kuugawa uwanja wetu Kwa watu wa Malawi Sawa!
Labda mngesema Benjameni hahahaha uwanja wa Benjameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiungo kufunga Mara kwa Mara ni added value kama Casamillo..Msimu wa 2016-2017 Tambwe alifunga double digits..msimu uliopita alikuwa injury.. Amerudi tena..unafikiri kwa nini Amunike anampa nafasi.Feisal kuliko Mkude?ameona bright future kwakeTambwe hayo magoli mengi kayafunga lini? Miaka miwili ya mwisho kafunga mangap, wachezaji hukua viwango na kufa Huwez kutumia kumbukumbu ya 2014 kuelezea ubora wa mchezaji 2019, mkuda na Feisal ni viungo na viungo wana roles zao uwanjani hawapimwi kwa magoli. Unasema watu wapinge kwa hoja wakat na ww hauna hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah wa 12 uwanjaniwe ni mchezaji?
Hivi hajui kuwa wewe ni wa 12 uwanjani eeeh..Asubiri kichapo tuYeah wa 12 uwanjani
Endeleeni kuamini Ulonzi utajua faida yake mbeleni...Simba tunacheza mpira tuShiza kaondoka nani atabeba majini
Tetesi!
Nasikia Yanga wamekimbia kambi ya Moro toka jana, wamekimbilia Tanga. Ko Yanga Leo usiku wataingia dar kutokea Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mnakumbuka mlichokifanya kipindi kile[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]Kuna uwezekano mkubwa yanga wakagoma kucheza au Kama wakicheza wasirudi kipindi cha pili kale kababu kao kameshachungulia na kuona Mambo mazito