Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

DOOOH. Wacha yangu yawe macho na masikio tu maana kwenye huu uzi nitayaona mengi hasa kutoka kwa Watani zangu hali ya kuwa hata mpira haujachezwa bado. Teh

Haya Mujitahidi Mujae Uwanjani basi msiishie hapa.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"

Kama huamini subiri baada ya dakika 90.

SIMBA SC 2 - 0 NDALA FC
 
Nashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
 
Tambwe hayo magoli mengi kayafunga lini? Miaka miwili ya mwisho kafunga mangap, wachezaji hukua viwango na kufa Huwez kutumia kumbukumbu ya 2014 kuelezea ubora wa mchezaji 2019, mkuda na Feisal ni viungo na viungo wana roles zao uwanjani hawapimwi kwa magoli. Unasema watu wapinge kwa hoja wakat na ww hauna hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiungo kufunga Mara kwa Mara ni added value kama Casamillo..Msimu wa 2016-2017 Tambwe alifunga double digits..msimu uliopita alikuwa injury.. Amerudi tena..unafikiri kwa nini Amunike anampa nafasi.Feisal kuliko Mkude?ameona bright future kwake
 
Back
Top Bottom