Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

Mchezo wenu wa kupulizia dawa vyumbani vipi...kesho mtafanya kama kwa waarabu???
 
Hivi ule mwingine ndo Shamba la Bibi eeeh. Btw michezo ina lugha zake huturirika kama maji huwezi kuipangia.
 
Sisi Simba tuna uhakika sana wa kushinda kesho. Ila wazoefu tunasema mechi itakua kama ya Kagera Sugar mwaka Jana mbele ya JPM. Tusikasirike ndio soka hiyo .
 
Back
Top Bottom