Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.

Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.

Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.

Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool

Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.

Tupia utabiri wako na wewe!
 
Liverpool?????
7fd9a13fd25e0d61c563ea397abb0c86.jpg
 
1. Chelsea
2. Man City
3. Man utd
4. Liverpool
5. Tottenham
6. Everon
7. ARSENAALI
 
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Sijui ubavu wa kutamka hayo maneno umepata wapi!!!!!
Inahitaji mwanadamu mwenye roho ngumu kama ya Mohamed Alli kuweza kutamka hayo maneno
But, this is the truth
1. Man utd
2. Chelsea
3.Arsenal
4. Man city if Coutinho will leave Liverpool, if not, vice versa
 
Back
Top Bottom