kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ni 5G. Pongezi Gadiel Michael Kamagi, C. Mugalu,Moquisone, M.Kagere na beki kitasa Ame.
Kongole kwa S.Ndemla kwa attempts za hatari..S.S.C na sisi mashabiki tunajivunia Kahata, Ajib kwa zile mov'ts zao za hatari.
Kwa performance ile Kombe la FA, Kombe la VPL 2021 lazima vitue pale Msimbazi,Jangwani watuvumilie. FC Platinum aje tu bahati mbaya kwake atakutana na Uso kwa uso na Fuso, hatobaki salama!
Uto mtusamehe. Hersi anaandaa timu ya next year. Anaomba mumwelewe!