Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Nataka niwasaidie wana-JF
Kuelekea mwaka 2025 , hakikisha mambo yafutayo unayazingatia Sana na kuyalinda with all costs .
Jiepushe na uchoyo - usimnyime mtu kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako, mfano unaona sehemu kuna nafasi ya Kazi usisite kumshtua MTU unayemjua akaenda Ku-cover hiyo nafasi.
Mfano upo jeshini na unasikia fursa za Ajira Kama Una MTU unamjua mpigie simu umpe hiyo taarifa na Kama hana nauli ya kuudhuria Usaili mtumie na hela ya kula mpatie.
UBAHILI - Jiondoe na mambo ya ubahili hakikisha unajipenda unakula vizuri ,unavaa vizuri , unachotakiwa Kuwa nacho ni nidhamu ya pesa na sio ubahili.
ROHO MBAYA - jiepushe na ROHO mbaya kuwa na moyo wa UPENDO saidia Sana WATU hakikisha unaacha alama hapa duniani.
Ambayo itakutambulisha hata siku ukiwa haupo duniani.
Kuwa yule MTU ambaye watu hawatajuta kukufahamu.