Nimekupenda Bure kabisa............πMimi kama ShesRise_1
Sababu kwanini sikupiga kura
π
1.
Lilipoanza kufunguliwa dirisha la kusajiliwa kwenye daftari la wapiga kura sikujisajili kwa sababu nilikuwa tayari nina kitambulisho ambacho nadhani kingeweza kutumika kwa ajili ya kupiga kura
2. Sikuvutiwa na namna mchakato wa uchaguzi ulivyokuwa ukienda
Kwa kipindi fulani sikuona direction nzuri ya mchakato mzima wa uchaguzi
Haikuwa wazi kwangu ni hatua gani ilikuwa inafuata na mambo yalikuwa yanaelekea wapi kulikua na sintofahamu huku watu wakihimizwa wakapige kura wengine wakiwa na slogan ya October tunatoka au Mo29
3. Sikuona ushindani wa kutosha
Kwa hali ya kisiasa iliyokuwepo uchaguzi ulionekana kama hautakuwa na ushindani mkubwa (baadhi ya vyama vikisusa)
Hilo pia lilipunguza motivation yangu ya kushiriki
4. Sikuvutiwa na mgombea yeyote wa urais I told you bro π π
Kwa upande wa urais, kati ya wagombea waliokuwa wakinadi sera zao hakuna aliyenivutia kiasi cha kunifanya nijisikie nina sababu ya kwenda kupiga kura
5. Sababu yangu kubwa zaidi:
KATIBA uwiiiiiii!
Hii ndiyo sababu muhimu zaidi kwangu Ningeshiriki uchaguzi kikamilifu kama kungefanyika maboresho ya Katiba kwa kufuata maoni ya wananchi hususani yale yaliyowasilishwa kupitia Tume ya Warioba
Kwa hiyo kwa kifupi mimi mwanachi gender ke sikushiriki uchaguzi na sikufika eneo la kupigia kuraπ
Lakini sikuwa nimejifungia ndani la hasha
Nilikuwa mtaani kwa baadhi ya muda, mpaka karibu saa 11 jioni kabla ya muda wa mwisho wa katazo la kutembea saa 12 jioni
Hivyo kutokupiga kura kwangu hakukuwa kwa sababu sikuwa najua uchaguzi upo au ni wapi kituo changu kilipo hapana kabisa nilijua kwa hakika
Nilikuwa na sababu zangu nilizozifikiria na kuamua kutoshiriki na hizo nilizo ziorodhesha hapo juu!
Kisha baadae sana nilianza kusikia kuna damu zimetapakaq aridhi ya Tanganyika