Mimi binafsi, familia yangu na ya zaidi ya waTanzania milioni30 tuliojiandikisha kupiga kura tulipiga kura kwa amani, uwazi, haki na uhuru na kuichagua serikali sikivu ya CCM ambayo inaongozwa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuwatumikia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo endelevu ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.Tarehe 29 Oktoba 2026 itatimiza mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa 2025, ambapo Watanzania walipiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani.
Lakini mwaka mmoja baadaye, kuna swali moja ningependa tuliweke wazi kupitia wanachama wa JamiiForums:
WEWE MWENYEWE ULIPIGA KURA?
Si kwa kusikia kwa mtu mwingine. Si kwa taarifa za mitandao. Wewe, kama mpiga kura, siku hiyo ulifika kituoni na kupiga kura au hukupiga?
Na kama ulipiga kura:
🇹🇿 Rais: Ulipiga kura ya Rais?
🏛️ Mbunge: Ulipiga kura ya Mbunge katika jimbo unaloishi?
🏘️ Diwani: Ulipiga kura ya Diwani katika kata unayoishi?
Na kama hukupiga kura, sababu ilikuwa ipi?
Sikufika kituoni.Jina langu halikuwepo/ kulikuwa na tatizo la daftari.Nilikuwa mbali na kituo changu.Nilichagua kutopiga kura.Kulikuwa na sababu nyingine.KWA NINI NINAULIZA?
Taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa 2025 zimeibua maswali kuhusu ushiriki wa wapiga kura na takwimu za kura katika ngazi mbalimbali.
Badala ya kila mtu kusema “Watanzania wengi walifanya hivi” au “Watanzania wengi hawakufanya vile”, hebu tuanze na data ndogo kutoka kwa watu ambao tuko hapa JamiiForums.
Tunataka kujua kitu kimoja tu:
JE, ULIPIGA KURA AU HUKUPIGA KURA?
Na kwa kuwa uchaguzi ulikuwa na kura tatu tofauti, ningependa tuone kama ushiriki wa wanachama wa JF ulikuwa sawa katika kura zote tatu.
Na kama hukupiga kura kabisa, ni sababu gani iliyokufanya usishiriki?
Muhimu: Poll hii si utafiti wa kitaalamu wa Watanzania wote. Ni picha ya wanachama wa JamiiForums walioshiriki kujibu, ambao ni sehemu ndogo tu ya jamii ya Watanzania.
Lakini pengine majibu haya yanaweza kutupa jambo la kutafakari:
Je, kile tunachosikia kwenye mijadala ya uchaguzi kinafanana na uzoefu halisi wa watu waliokuwa kwenye vituo vya kupigia kura?

Shukran karibuNimekupenda Bure kabisa............🙂
Umeulizwa kwa upande wako tuMimi binafsi, familia yangu na ya zaidi ya waTanzania milioni30 tuliojiandikisha kupiga kura tulipiga kura kwa amani, uwazi, haki na uhuru na kuichagua serikali sikivu ya CCM ambayo inaongozwa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuwatumikia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo endelevu ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.
In fact,
kwa hali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ilivyo shwari tangu kumalizika kwa uchaguzi,
huenda zaidi ya waTanzania milioni 45 tukapiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka2030 na kuirejesha tena mamlakani serikali sikivu ya CCM kwa kishindo cha zaidi hata ya kile cha uchaguzi mkuu wa 2025.
Sote ni mashahidi kwamba,
hakuna mTanzania alietumia haki yake ya kupiga kura kikatiba,
anababaika na porojo, mihemko, makasiriko au upotoshaji wa wafuata mkumbo na wasusa uchaguzi humu nchini, nadhani ndio maana our nation chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan is currently more united, more powerful worldwide and more stronger than before.
And nobody can do anything about that light truth![]()
ndugu mdau,Umeulizwa kwa upande wako tu
Hao Watanzania milioni 30 sio swali la mjadala
Soma mada kisha changia kulingana na mada husika Gentleman right ✅️

Sikupiga kura maana kiuhalisia lilikuwa ni zoezi la hadaa, kwani washindi tayari walishaandaliwa. Kutokwenda kupiga kura ilikuwa ni sehemu ya kuwaonyesha wanaonajisi uchaguzi kuwa hatuwataki. Tunapokwenda kujazana vituoni hawajali kura zetu, ila wanatumia wingi huo kuonyesha kuwa wao ndio wamechaguliwa na hao watu wengi. Hivyo kitendo cha kutotokea wameona na uhalisia umeonekana kuwa hatuwataki.Tarehe 29 Oktoba 2026 itatimiza mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa 2025, ambapo Watanzania walipiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani.
Lakini mwaka mmoja baadaye, kuna swali moja ningependa tuliweke wazi kupitia wanachama wa JamiiForums:
WEWE MWENYEWE ULIPIGA KURA?
Si kwa kusikia kwa mtu mwingine. Si kwa taarifa za mitandao. Wewe, kama mpiga kura, siku hiyo ulifika kituoni na kupiga kura au hukupiga?
Na kama ulipiga kura:
🇹🇿 Rais: Ulipiga kura ya Rais?
🏛️ Mbunge: Ulipiga kura ya Mbunge katika jimbo unaloishi?
🏘️ Diwani: Ulipiga kura ya Diwani katika kata unayoishi?
Na kama hukupiga kura, sababu ilikuwa ipi?
Sikufika kituoni.Jina langu halikuwepo/ kulikuwa na tatizo la daftari.Nilikuwa mbali na kituo changu.Nilichagua kutopiga kura.Kulikuwa na sababu nyingine.KWA NINI NINAULIZA?
Taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa 2025 zimeibua maswali kuhusu ushiriki wa wapiga kura na takwimu za kura katika ngazi mbalimbali.
Badala ya kila mtu kusema “Watanzania wengi walifanya hivi” au “Watanzania wengi hawakufanya vile”, hebu tuanze na data ndogo kutoka kwa watu ambao tuko hapa JamiiForums.
Tunataka kujua kitu kimoja tu:
JE, ULIPIGA KURA AU HUKUPIGA KURA?
Na kwa kuwa uchaguzi ulikuwa na kura tatu tofauti, ningependa tuone kama ushiriki wa wanachama wa JF ulikuwa sawa katika kura zote tatu.
Na kama hukupiga kura kabisa, ni sababu gani iliyokufanya usishiriki?
Muhimu: Poll hii si utafiti wa kitaalamu wa Watanzania wote. Ni picha ya wanachama wa JamiiForums walioshiriki kujibu, ambao ni sehemu ndogo tu ya jamii ya Watanzania.
Lakini pengine majibu haya yanaweza kutupa jambo la kutafakari:
Je, kile tunachosikia kwenye mijadala ya uchaguzi kinafanana na uzoefu halisi wa watu waliokuwa kwenye vituo vya kupigia kura?
Tume iliyoundwa na ukweli.Mkuu, wewe ni tume uliyeundwa na nani?
Weka vote yako kwenye poll hapo juu first page tupate japo picha isiyo kamili kwa kilichotokea October 29Sikupiga kura maana kiuhalisia lilikuwa ni zoezi la hadaa, kwani washindi tayari walishaandaliwa. Kutokwenda kupiga kura ilikuwa ni sehemu ya kuwaonyesha wanaonajisi uchaguzi kuwa hatuwataki. Tunapokwenda kujazana vituoni hawajali kura zetu, ila wanatumia wingi huo kuonyesha kuwa wao ndio wamechaguliwa na hao watu wengi. Hivyo kitendo cha kutotokea wameona na uhalisia umeonekana kuwa hatuwataki.
Hakukuwepo na uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025.
Hapana sikupiga kura
Binafsi sikupiga kura kabisa, na kilichonichochea kutokupiga kura kwanza ni Chadema kutoutambua na kutoshiriki uchaguzi ule, pili ni jinsi mgombea wa chama dola alivyojipitisha kwa ubabe na kuvunja katiba hata ya chama chale
NB: haya ni maoni yangu na yaheshimiwe
Nilikuwa miongoni mwa mwasimamizi aisee aibu naona mie
Sikupiga wala sitakuja kupiga kura kwa sababu ya uhuni wa maccm
Wakuu nawaomba muwele votes zenu kwenye poll hapo juu first page tupate japo picha isiyo kamili kwa kilichotokea October 29Sikupiga kura
😅😅 ila Samson lolndugu mdau,
ni muhimu zaidi kuzingatia maelezo hayo muhimu ya jumla, mazito na ya maana zaidi
kwa maslahi mapana ya waTanzania wote na itapendeza zaidi.
hakuna haja ya kupoteza wakati na mambo binafsi kwenye jambo la kitaifa tena la kikatiba na lililofanya kizalendo na weledi mkubwa na mamilioni ya waTanzania mwaka 2025.![]()
mimi ndio wa kwanza kwenye hiyo poll boss wangu.Weka vote yako kwenye poll hapo juu first page tupate japo picha isiyo kamili kwa kilichotokea October 29
Sawa kiongoziWakuu nawaomba muwele votes zenu kwenye poll hapo juu first page tupate japo picha isiyo kamili kwa kilichotokea October 29
Hakukuwepo na uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025.
Uchaguzi ulikuwepo, sema watu hawakwenda kwenye uchaguzi.Hakukuwepo na uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025.
Tufute comment au tuweke vote au vyote?Wakuu nawaomba muwele votes zenu kwenye poll hapo juu first page tupate japo picha isiyo kamili kwa kilichotokea October 29
relax Delilah na uwe mstahimilivu kidogo plz😅😅 ila Samson lol

Okayrelax Delilah na uwe mstahimilivu kidogo plz![]()