Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Atapigiwa kula na laizer!!!! Watu wanaangalia mass interest we unaongelea bilionea mmoja. Kwahiyo laizer pekee atapiga kula bilioni?
 
Kwetu alishatunyima hata waziri,

Hatupendi kabisa.

Mwalimu Nyerere alikuwa anawapa uwaziri au unaibu au ukatibu mkuu, yeye katunyima.

Sema wanawake weupe kule sijui kama ni wengi.

Ngoja tuone.
 
Magufuli hata asingeenda hata jimbo moja bado watanzania watamchagua kwa kishindo. Ametutendea mambo mema sana
Kma mlijua hilo kwanini sasa mkalazimisha akienda Likizo na Lissu naye asiwe na kampeni?

Kwakweli hakuna aliyetegemea upinzani ungeleta momentum ya hali hii kuelekea oktoba. Jiwe hakujiandaa na kampeni alijua ni white wash.

Kma angekua anajiamini sana angeruhusu tume huru. He's overrated na Lissu kamfanya aonekane mwepesi sana.
 
Pigeni chini Chadema, mtapata maendeleo
Maendeleo gani?
Mbona Tabora, Singida, Dodoma, Shinyanga, Simiyu, Lindi, Pwani, Tanga, Ruvuma n.k yamewashinda wakati miaka nenda rudi wanachagua lichama hilohilo?
 
Leo Arusha imeitika kwa Magufuli kama Kilimanjaro ilivyofanya ,Ama hakika safari hii wapinzani hawana pa kukimbilia
Kuna tofauti kubwa ya kuhudhuria mkutano na kuoiga kura.
As i know most ya watu wa arusha na moshi kama hawanaga tabia za kiswahili. Watahudhuria mkutano lakin kama hawajakukubali kwenye kura utapata majibu.
 
Back
Top Bottom