Kweli mpira unaujua Sesten japokuwa kwa mbaali naona una chembe chembe za kugwaya. [emoji12] [emoji12]Ni mechi ngumu kwa pande zote. Mara nyingi mchuano baina ya timu hizi hauangalii nani yupo on fire wakati huo, utakuta ule upande unaodhaniwa ni bora kipindi hicho ndio wanapoteza mchezo au wana struggle sana kupata angalau sare
Mkuu, huko mikia kumenoga nn...?Ajibu na kesssy rudini nyumbani kumenoga
Mbeya city walipiga mpira wapi?Ikiwa Mbeya City baada ya kuupiga vilivyo mpira, Yanga wakaona waruweruwe wakasema wachezaji wako 16.
Yamkini Simba SC watakuwa 20 namna balaa la Okwi, Bocco na Kichuya watakavyo papasa Yanga pale dimba la Mchina.
Uzuri wa Yanga hua mkifungwa na Simba hua hasira kwanza mnazimaliza kwa viongozi wenu, mi namtafadhalisha tu Mkwasa asisubiri mpira uishe ndio atoke uwanjani, yeye asepe zake mapeema....wewe bado hujakata tamaa Hajar?Haijalishi Simba yupo kwenye Ubora kiasi gani sababu kiukweli game za Simba na Yanga huwa ni za kipekee.
Simba nyie chongeni, jinadini ila mjue tarehe 29 ndio itakayoongea. Yanga sio wa kupapaswa kirahisi hivyo tena na Simba lol.
Niseme tu msije na matokeo yenu Uwanjani sababu hamkawii kutung'olea Viti.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Wewe ni mtabiri mahiri kabisa, na mkeka wako hautachanika nakuhakikishiamechi bado lakini mnyama anaongoza
Hapana sijakata tamaa na sitakata tamaa Sesten mpaka mechi ipite aisee.Uzuri wa Yanga hua mkifungwa na Simba hua hasira kwanza mnazimaliza kwa viongozi wenu, mi namtafadhalisha tu Mkwasa asisubiri mpira uishe ndio atoke uwanjani, yeye asepe zake mapeema....wewe bado hujakata tamaa Hajar?
Upo tayari tupinge?Hapana sijakata tamaa na sitakata tamaa Sesten mpaka mechi ipite aisee.
Usilinganishe Simba na vitu vya hovyo.Haijalishi Simba yupo kwenye Ubora kiasi gani sababu kiukweli game za Simba na Yanga huwa ni za kipekee.
Simba nyie chongeni, jinadini ila mjue tarehe 29 ndio itakayoongea. Yanga sio wa kupapaswa kirahisi hivyo tena na Simba lol.
Niseme tu msije na matokeo yenu Uwanjani sababu hamkawii kutung'olea Viti.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Usilinganishe Simba na vitu vya hovyo.Haijalishi Simba yupo kwenye Ubora kiasi gani sababu kiukweli game za Simba na Yanga huwa ni za kipekee.
Simba nyie chongeni, jinadini ila mjue tarehe 29 ndio itakayoongea. Yanga sio wa kupapaswa kirahisi hivyo tena na Simba lol.
Niseme tu msije na matokeo yenu Uwanjani sababu hamkawii kutung'olea Viti.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Mbona Povu sasa.Usilinganishe Simba na vitu vya hovyo.
Wacha kabisa Mtani. Yaani mbali na kutofahamiana tulimisiana mno.Habari mkuu Hajar. Tulikuwa likizo kwa JF yetu