JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao.
Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu #WatotoNjiti.
Wakurugenzi wa Taasisi hizo, Maxence Melo na Doris Mollel wametia saini makubalinao (MOU) kwa ajili ya kufanya kazi hiyo kwa pamoja.
Tukio hili ni kati ya jitihada za kuelimisha jamii kuhusu Watoto Njiti kuelekea siku yao inayoadhimishwa kila tarehe 17 Novemba.
#PreMatureBabies #WatotoNjiti #JFLeo

Upvote
1