Kuelekea Tanzania mpya tuvikatae Visingizio vyote

Kuelekea Tanzania mpya tuvikatae Visingizio vyote

Umri sio kigezo cha kuwa na hekima, nimeshakuonesha pale juu viongozi wenye umri mkubwa wanavyopata tabu ku control emotions zao.

Suala la experience nalo unaturudisha nyuma kule kule tunapotaka kutoka, mbona wazee wa zamani kina Salim Ahmed Salim, Nyerere, na wengine walianza kuongoza wakiwa na umri mdogo, kwanini sasa hivi isiwezekane?

Hata kigezo cha kusema wakati ule hapakuwepo na wasomi wengi kwangu nakipinga, hata kama siku hizi wasomi wapo, ndio wanatakiwa wawepo vijana wengi zaidi kwenye uongozi ili kuendana na dunia inavyokwenda, lakini sio wazee waendelee kuongoza.

Nashangaa siku hizi watu wanafikisha miaka hamsini kwenye uongozi lakini bado wanaitwa vijana, kule UV CCM panachekesha sana, sasa vijana wa miaka 35 wataonekana lini?
Uko sahihi mkuu:

1. Akiwa 22 Salim alikuwa balozi wa Tanzania Egypt.
2. Nyerere alipokuwa 35 alikuwa kinara TANU kwenye kupigania uhuru.
3. Nyerere alipokuwa 39 alikuwa waziri mkuu wa Tanganyika.
4. List ni ndefu

Ushahidi kuwa age "is just a number" kote juu na hata chini.

Visingizio vyote ni vya kupigwa vita.

Bottom line binadamu wote ni sawa.

Yeyote 18 and above anastahili kupiga na hata kupigiwa kura.

Matokeo ya kura ya haki ndiyo pekee yaliyo halali.
 
Haya mambo hayahitaji maneno mengi, simply kama iliwezekana kwa hao wakati huo, kwanini leo isiwezekane?

Tatizo ni kubadili mindset tu, nothing else.
 
Africa bado tunaamin vijana hawawezi kuongoza nchi, ni wazee na watu wa makamo tu ndio wana busara, uwezo na hekima za kuongoza nchi tunasahau kuwa ata wapumbavu na wajinga nao ukua na kuzeeka
AFRIKA HUWEZI KUWAPA VIJANA UTAWALA, HAWAWEZI KUJICONTROL NA MARA ZOTE HUJIONGEZEA MIULA. KWANGU MIMI TUNGEONGEZA UMRI WA KUGOMBEA URAIS NA KUFIKIA 50.
 
AFRIKA HUWEZI KUWAPA VIJANA UTAWALA, HAWAWEZI KUJICONTROL NA MARA ZOTE HUJIONGEZEA MIULA. KWANGU MIMI TUNGEONGEZA UMRI WA KUGOMBEA URAIS NA KUFIKIA 50.

Hayo ni mawazo yako. Kistaarabu huwa mawazo yakigongana kura ya maoni huamua.

Utolewaji elimu kabla ya kura ni haki ya kiraia. Tukutane huko. Mawazo mgando hayajengi.
 
Hayo ni mawazo yako. Kistaarabu huwa mawazo yakigongana kura ya maoni huamua.

Utolewaji elimu kabla ya kura ni haki ya kiraia. Tukutane huko. Mawazo mgando hayajengi.
Basi na MASHOGA waachiwe mzee, mbona mnapenda uhuru wa kipuuzi kiasi hiki??

Afrika ni bara giza huwezi mpatia kiongozi mwenye umri wa chini ya miaka 40 au chini ya 50 na asiwe na tamaa ya kujiongezea Muhula, Rejea NKURUNZIZA, J KABILA, KAGAME, NENDA AFRIKA MAGHARIBI utajionea hayo.

Sio kila kinachokujia kichwani ni cha maana vingine ni UPUPU tu mzee.

Kaa chini tafakari, hii nchi ashinde POLEPOLE, KHERI JAMES, ZITTO KABWE, NK. Huwezi iga demokrasia ya Sehemu fulani wakati unajua fika kwako haiwezi kufit. Mbona hamtolei mfano URUSI?

UHURU USIO NA MIPAKA SIO UHURU NI VURUGU MZEE.
 
Naanza kupata mashaka na mtu ninayoongea nae kuhusu reasoning yake..., Naona wewe hapo una wao wanaotumia nguvu nyingi na nyie wenye nia ya Tanzania mpya.., hatuwezi kuelewana sababu wewe unaongelea Tanzania ya nyie na wao wakati mimi nina ndoto za Tanzania moja yaani (Tanzania Yetu) ingawa ningependa dunia yetu (ila that's a dream too far)...

Hakuna aliyebisha wala sikatai hata kama mtu ni exceptional na ana miaka 12 anaweza kufanya kitu asikifanye, ila naongelea logic huyo mtu wa miaka 12 akifika miaka 20 atakuwa bora zaidi kwahio hekima inaniambia (hekima sio sheria) kabla sijampa huyo dogo nchi wa miaka 12 kwanza tumpe wilaya, mkoa n.k. (sio kumpima tu bali kuendelea kumpika) na hio ni reasoning yangu kwa manufaa ya nchi sio kwa manufaa kwamba sasa hii ni zamu yetu hao zamu yao imekwisha...

Kama unadhani wananchi ndio wanachagua viongozi kwenye hizi demokrasia za sasa.., think again...

Wengi wape huku ukiangalia haki za wachache kuepuka Tyranny of the Majority (Kama Mbwa mwitu watatu na Kondoo mmoja wakipiga kura kuhusu kitoweo cha jioni basi ni Kondoo pekee ndio atakayejikuta kikaangoni)

Trump yupo na kuna uwezekano akarudi tena..., Trump alichaguliwa na so called forgotten Man kwa ku-promise what the forgotten man wanted to hear alishinda (thus my point kuhusu the un-informed voter) na watu kama Trump wataendelea na wanaendelea kushinda kila siku kutokana na weakness ya demokrasia... qouting Socrates in the book Republic....

The sweet shop owner can make the argument against the doctor that “he gives you bitter syrups and pokes holes on you, cuts your skin and take your blood,” but he can offer you many sweets and candies. Surely no one with their right mind would vote for the doctor would it?

Kwahio the point about Trump ni kwamba kiongozi anaweza kuchaguliwa kwa kuwahadaa wananchi kwa kuwaambia achaguliwe matatizo yao yatakwisha (offering empty promises) wakuu wa wilaya ni point yangu hawa madogo wengi waliochaguliwa bila kuiva na kuleta utoto mwingi hence kuharibu maisha ya watu (sio kwamba watu matured hawawezi kufanya hivyo..., ila labda hao madogo wangeshapevuka wasingefanya leo waliyoyafanya jana)

Kwamba unaanza kupata mashaka ya reasoning ya mtu kwa sababu umeambiwa katika Tanzania Mpya dhidi ya madwalimu wapora haki:

1. Binadamu wote watakuwa sawa?
2. Kila timamu mwenye walau miaka 18 atakuwa na haki kuchagua au kuchaguliwa?
3. Chaguzi za haki, huru na usawa ndizo zitakuwa mwamuzi?
4. Mustakabala wa taifa utazingatia wengi wape ambayo ndiyo maana pekee ya demokrasia popote pale?

Ni dhahiri kuwa wewe ni mmoja wa madhwalimu wapora haki tuliodhamiria kupambana nao.

Kwamba matakwa yenu si ndiyo haya:

1. Binadamu wote wasiwe sawa?
2. Mpiga kura awe yeyote timamu baada ya 18 lakini si mpigiwa kura?
3. Hamtaki chaguzi za haki, huru wala zenye usawa kuamua mustakabala wa taifa ila ghiliba?
4. Hamtaki ya wengi kutamalaki ila kubaka demokrasia?

Haipo shaka utakuwa na vinasaba na tunaowauliza waliko Lijenje, Ben, Azory, Malema, Urio na wenzao.

Kwamba:

1. Akiwa 22 Salim alikuwa balozi wa Tanzania Egypt.
2. Nyerere alipokuwa 35 alikuwa kinara TANU kwenye kupigania uhuru.
3. Nyerere alipokuwa 39 alikuwa waziri mkuu wa Tanganyika.
4. List ni ndefu

Huna hoja. Umeshindwa kutingisha yoyote kati ya hoja zetu.
 
AFRIKA HUWEZI KUWAPA VIJANA UTAWALA, HAWAWEZI KUJICONTROL NA MARA ZOTE HUJIONGEZEA MIULA. KWANGU MIMI TUNGEONGEZA UMRI WA KUGOMBEA URAIS NA KUFIKIA 50.
Kwan wazee hawawezi jiongezea mda wa kubaki madarakani?
Hii yakujiongezea mda inakuwa ni rahis kutokea kwa sababu Africa tuna siasa za kivyama zaidi (zunaangalia maslai ya chama zaidi) kuliko kuangalia maslai ya taifa, kwaiyo ata huyo mzee anaweza jiongezea mda na wabunge wake wakapitisha bungeni refer Mseveni na Promo za kina ndugai na wabunge waliokuwa wanataka magufuri aongezewe mda
 
Basi na MASHOGA waachiwe mzee, mbona mnapenda uhuru wa kipuuzi kiasi hiki??

Afrika ni bara giza huwezi mpatia kiongozi mwenye umri wa chini ya miaka 40 au chini ya 50 na asiwe na tamaa ya kujiongezea Muhula, Rejea NKURUNZIZA, J KABILA, KAGAME, NENDA AFRIKA MAGHARIBI utajionea hayo.

Sio kila kinachokujia kichwani ni cha maana vingine ni UPUPU tu mzee.

Kaa chini tafakari, hii nchi ashinde POLEPOLE, KHERI JAMES, ZITTO KABWE, NK. Huwezi iga demokrasia ya Sehemu fulani wakati unajua fika kwako haiwezi kufit. Mbona hamtolei mfano URUSI?

UHURU USIO NA MIPAKA SIO UHURU NI VURUGU MZEE.

Mkizidiwa hoja mnakuja na viroja.

Mada hii haihusiki na Mashoga wala viungo vyenu vya kufanyia kazi mjomba.

Upuuzi ni kuleta mambo yenu ya ya ushoga yasiyokuwapo kwenye mada zisizohusika.

Afrika si bara la giza bali lina madhwalimu kweri-kweri, waliojipanga na visingizio uchwara ili kuhodhi mamlaka kwa maslahi yao binafsi.

Malengo yenu yanajulikana kuwa:

1. Binadamu wote wasiwe sawa.
2. Mpiga kura awe yeyote timamu baada ya 18 lakini si mpigiwa kura.
3. Hamtaki chaguzi za haki, huru wala zenye usawa kuamua mustakabala wa taifa ila ghiliba.
4. Hamtaki ya wengi kutamalaki ila kubaka demokrasia.

Ni dhahiri kuwa wewe ni mmoja wa madhwalimu wapora haki hao tuliodhamiria kupambana nao.

Tanzania Mpya dhidi ya madwalimu nyie itakuwa hii:

1. Binadamu wote watakuwa sawa.
2. Kila timamu mwenye walau miaka 18 atakuwa na haki kuchagua au kuchaguliwa.
3. Chaguzi za haki, huru na usawa ndizo zitakuwa mwamuzi.
4. Mustakabala wa taifa utazingatia wengi wape ambayo ndiyo maana pekee ya demokrasia popote pale.

Kwamba:

1. Akiwa 22 Salim alikuwa balozi wa Tanzania Egypt.
2. Nyerere alipokuwa 35 alikuwa kinara TANU kwenye kupigania uhuru.
3. Nyerere alipokuwa 39 alikuwa waziri mkuu wa Tanganyika.
4. List ni ndefu

Huna hoja na tutalala mbele na madwalimu nyie hadi kieleweke.

Hivi mlitokomea wapi na kina Lijenje, Ben, Azory, Malema, Urio na wenzao?
 
Back
Top Bottom