Kuelekea Trump kushinda, Tazama video za nyomi la wapiga kura wa Trump. Media hawataki uzione

Kuelekea Trump kushinda, Tazama video za nyomi la wapiga kura wa Trump. Media hawataki uzione

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni juzi tu Rais Trump kapata nyomi la watu elfu 57 lakini hutakuja kusikia CNN wala MSMBC, n.K wakiripoti hivi vitu.

Kwa ukweli ni kwamba Wamarekani wenggi wameacha kufatilia main stream media, watu wengi wanaofatilia hizi media ni raia wa nje ya marekani wakiwemo Watanzania wa humu Jamii Forums wanaoaminishwa kama watoto kwamba Biden atashinda kitu ambacho ni ndoto

NI JUZI TU RAISI TRUMP KAPATA NYOMI LA WATU ELFU 57 LAKINI HUTAKUJA KUSIKIA CNN WALA MSMBC, N.K WAKIRIPOTI HIVI VITU.

KWA UKWELI NI KWAMBA WAMAREKANI WENGGI WAMEACHA KUFATILIA MAIN STREAM MEDIA, WATU WENGI WANAOFATILIA HIZI MEDIA NI RAIA WA NJE YA MAREKANI WAKIWEMO WATANZANIA WA HUMU JAMII FORUMS WANAOAMINISHWA KAMA WATOTO KWAMBA BIDEN ATASHINDA KITU AMBACHO NI NDOTO

View attachment 1618127View attachment 1618133
Hivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.
 
Hivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.
Umpende Trump usimpende, bado anakuita wewe shit na nchi yako shit country. Huyo kweli ni wa kushabikia. Na kisha funga mipaka kwa watu wenye ngozi kama yako kwenda huko! Hata CHADEMA ijipendekeze vipi bado ni shit party according to Trump.
 
Hivi una akili timamu kweli? Umerudia kusoma ulicho andika? Mzungu anakutukana na kukudharau kisha wewe unamsujudu, una akili kweli wewe? Unaijuwa historia yako kweli? Pole sana.
 
Hapo yanaokota korona tu Hakuna Cha maana, no Wonder cases zinazidi kupaa Marekani. Kesho huyu anayetukana nchi za Afrika atafungasha virago
 
Behind the scene kuna mnyukano kati ya mahackers wa China,North Korea na Iran ambao hawamtaki Trump vs mahackers wa Russia ambao wana mtaka Trump.
Hii imesababisha wafuasi was DTwaanze kuzuia watu kupiga kura na kuahidi kukinukisha kama DT atashindwa
 
Hivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.
Biden na Democratic yake wanasupport mpaka ushoga, usagaji n.k

Wakishaanza kusupport huko watainfluence zaidi mpaka huku mataifa ya walala hoi, itaathiri mpaka watoto wetu wa kiume.

Demokrasia ikizidi inaharibu

May God bless D.Trump & his motives
 
Back
Top Bottom