Kuelekea Trump kushinda, Tazama video za nyomi la wapiga kura wa Trump. Media hawataki uzione

Kuelekea Trump kushinda, Tazama video za nyomi la wapiga kura wa Trump. Media hawataki uzione

Umpende Trump usimpende, bado anakuita wewe shit na nchi yako shit country. Huyo kweli ni wa kushabikia. Na kisha funga mipaka kwa watu wenye ngozi kama yako kwenda huko! Hata CHADEMA ijipendekeze vipi bado ni shit party according to Trump.
Sasa uchanguzi wa marekani na Chadema vina uhusiano gani? Hili ni jukwaa la kimataifa ka unakereka na yanayojadiliwa usiufungue
 
Kwan marekan Nan yupo kama ccm na Nan yupo kama chadema ili niweze kutabil mshind
Mchuano mgumu. Ila ya CCM na Chadema yanahusuje Marekani? Unalinganisha mbingu na ardhi? Huwa havikutani.
 
Biden na Democratic yake wanasupport mpaka ushoga, usagaji n.k

Wakishaanza kusupport huko watainfluence zaidi mpaka huku mataifa ya walala hoi, itaathiri mpaka watoto wetu wa kiume.

Demokrasia ikizidi inaharibu

May God bless D.Trump & his motives
Trump ni rais wa Marekani mpaka hivi sasa naandika haya, mbona hapa Tanzania kufilana ni fashion....ni nani aliyetu-influence?
 
Hivi una akili timamu kweli? Umerudia kusoma ulicho andika? Mzungu anakutukana na kukudharau kisha wewe unamsujudu, una akili kweli wewe? Unaijuwa historia yako kweli? Pole sana.
Hata hii simu unayotumia inatokana na teknolojia yao

Kama wewe ni msomaji wa kitabu labda umesoma kitabu kinachoitwa

''The beautiful ones are not yet born'' cha Mghana aitwaye Ayi kwey Armah akimuelezea ndege anayeitwa ''CHICHIDODO'' a kind of bird that feeds on maggots but hate the feaces

Wewe ni kama ''Chichidodo'' unawaponda wazungu wakati unatumia vitu vyao kama hiyo simu ama laptop unayotumia kuchat, na kama umevaa suruali pia ni utamaduni wao.

Hivyo unakuwa Mnafiki kama Chichidodo anayechukia kinyesi lakini anapata Chakula chake katika kinyesi.
 
Nafikiri tunaelekea kupata hitimisho kwamba "nyomi has nothing to do with the votes"
 
Back
Top Bottom