sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.NI JUZI TU RAISI TRUMP KAPATA NYOMI LA WATU ELFU 57 LAKINI HUTAKUJA KUSIKIA CNN WALA MSMBC, N.K WAKIRIPOTI HIVI VITU.
KWA UKWELI NI KWAMBA WAMAREKANI WENGGI WAMEACHA KUFATILIA MAIN STREAM MEDIA, WATU WENGI WANAOFATILIA HIZI MEDIA NI RAIA WA NJE YA MAREKANI WAKIWEMO WATANZANIA WA HUMU JAMII FORUMS WANAOAMINISHWA KAMA WATOTO KWAMBA BIDEN ATASHINDA KITU AMBACHO NI NDOTO
View attachment 1618127View attachment 1618133
Sikutegemea kukutana na hii comment huku jamiiForum.Hivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu
Ulitaka kukutana na comment ya kusifia ujinga ama?Sikutegemea kukutana na hii comment huku jamiiForum.
Hopeless comment, hili ni jukwaa la international kama unaona mambo hauna intests nayo kaa pembeni tuHivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.
keep calm, kuna watoto humu sikuhizi 😂😂 huyo ni aidha mtoto au mtu mzima mwenye akili za kitoto, namba 2 ipo so probableSikutegemea kukutana na hii comment huku jamiiForum.
Umpende Trump usimpende, bado anakuita wewe shit na nchi yako shit country. Huyo kweli ni wa kushabikia. Na kisha funga mipaka kwa watu wenye ngozi kama yako kwenda huko! Hata CHADEMA ijipendekeze vipi bado ni shit party according to Trump.Hivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.
Hivi una akili timamu kweli? Umerudia kusoma ulicho andika? Mzungu anakutukana na kukudharau kisha wewe unamsujudu, una akili kweli wewe? Unaijuwa historia yako kweli? Pole sana.Umpende Trump usimpende, bado anakuita wewe shit na nchi yako shit country. Huyo kweli ni wa kushabikia. Na kisha funga mipaka kwa watu wenye ngozi kama yako kwenda huko! Hata CHADEMA ijipendekeze vipi bado ni shit party according to Trump.
Nothing but the truthHopeless comment, hili ni jukwaa la international kama unaona mambo hauna intests nayo kaa pembeni tu
Unaelewa maana ya international forum?Hivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.
Hii imesababisha wafuasi was DTwaanze kuzuia watu kupiga kura na kuahidi kukinukisha kama DT atashindwaBehind the scene kuna mnyukano kati ya mahackers wa China,North Korea na Iran ambao hawamtaki Trump vs mahackers wa Russia ambao wana mtaka Trump.
hahahahahaha dahhata msiba wa hapa nyumban marehem aliponzwa na nyomi la watu
Biden na Democratic yake wanasupport mpaka ushoga, usagaji n.kHivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.