Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
- Thread starter
- #21
Thank you bossexactly my words!
Thank you bossexactly my words!
Alijitoa ufahamu tu.Mwandishi ameandika kulingana na hulka chaguo maisha ya wa Zanzibar hakuna Udini hapo kwasababu maisha ya wa Zanzibar 99% ni muslim katika hili kitu kidogo kinachohusiana na maslahi ya uislamu linagusa maisha ya itikadi zao kwa ujumla.
Yaani kazingua sana wengi wanatamani kuonekana na kupewa kipaumbele mbele za jamii lakini huyu ndg kaharibu.Alijitoa ufahamu tu.
Au ni aina ya watu anaesema mimi sitaki hili wakati kumbe ki uhalisia it's exactly what he/she wants
Nashukuru nitajibu kadri ya uwezo wangu bila kutumia maneno ya viongozi wa dini bali kwa kufuata mustakhabli wa taifa letu.Umepewa kipaumbele onyesha hata shukurani kwa hilo
Unahisi kwamba Wazanzibari bila kuangalia itikadi zao za vyama kwa pamoja wataamua kukipigia kura kile chama kinachoonyesha angalau nia ya kutenda haki kwa masheikh wao???
Kila mwenye kutetea dhula na aangamie"Nahisi"
Serikali imeshindwa kutoa ushahidi wao.
Lakni dhulma haimuachi mtu salama Serikali itagharamia haya.
ccm ikipigwa chini ni lzm wataachiwa maana watakuwa sio raia wa tza bali ni raia wa zanzibar sheria hairuhusu kumsthaki raianwa nchi nyingine kwa makosa aliyotenda akiwa nje nyingineKuna kizungumkuti na siri kubwa sana juu ya hawa ma Sheikh na habari zao mara nyingi ni zile za kubahatisha
Kuwaachia huru nako ni mtihani mzito..tusubiri tuone yatokanayo muda utasema
kukipigia kile chama chakavu kukuu kiwaleteacho watu ufukara ni kuhalalisha masheik kuendelea kuooza ndani sidhani kama watruhusu kitu hichoUnahisi kwamba Wazanzibari bila kuangalia itikadi zao za vyama kwa pamoja wataamua kukipigia kura kile chama kinachoonyesha angalau nia ya kutenda haki kwa masheikh wao???
Je unajua hao masheikh walikamatwa lini na issue ya kibiti imetokea lini? Acha uzwazwa wako kutetea maovu.Hakuna kubahatisha hapo. Yaani wanahusika na ishu za Kibiti bila kubahatisha. Nahisi wale madogo walibanwa wakasema kila kitu
Sielewi kwa nini uliniweka hapo, ila mimi mambo ya udini na taifa huwa sijui!
Yaani kibiti hii hii ya 2015/16?Hakuna kubahatisha hapo. Yaani wanahusika na ishu za Kibiti bila kubahatisha. Nahisi wale madogo walibanwa wakasema kila kitu
Delete ccm Oct 28Habari wadau,
Kama ijulikanavyo, Zanzibar waislam ni 99% ya watu wote. Ni nchi yenye idadi ya watu inayokaribia 2M kwa sasa. Kikawaida kwa waislam, wao huwa ni waislam kabla ya mengine yote yaani kama ni utaifa basi wao ni waislam kabla kuwa Wazanzibari, kama ni mambo ya mipira , basi wao ni waislam kabla ya U-Yanga wao au U-Simba wao, kama ni uchama basi wao ni waislam kabla ya U-CCM wao au U-ACT wao.
Swali langu ni je, suala la Masheikh wa Uamsho linaweza likawa ni turufu kubwa ya uchaguzi huu kwa upande wa Zanzibar?
Nimesikia kwamba kuna mpango wa Mahakama kuwarudisha Zanzibar masheikh waje waendelee na kesi yao kule Zanzibar, uamuzi huu unawezekana ukawa umeshajihishwa na muelekeo wa hali ya siasa ulivyo kwa sasa visiwani humo?
Sisi wengine si wajuvi wa haya mambo. Wataalam hebu tusaidieni.
Nguruvi3
dos.2020
Kichuguu
Mmawia
Jumbe Brown
Zitto
Gavana
Sky Eclat
Mshana Jr
Magonjwa Mtambuka
Ado Shaibu
CUF Habari
Kikwajuni One
zanzibakwetu
Zanzibar-ASP
zanzibar huru
Erythrocyte
Kama mkiweka udini kwenye kampeni mtaharibu kila kitu!Sielewi kwa nini uliniweka hapo, ila mimi mambo ya udini na taifa huwa sijui!
ni kuchukia watu wa dini nyingineNini maana ya udini