kibwengomfupi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 675
- 677
Kama masheikh wetu hawajaaliwa hakuna kuipa kura CCMUnahisi kwamba Wazanzibari bila kuangalia itikadi zao za vyama kwa pamoja wataamua kukipigia kura kile chama kinachoonyesha angalau nia ya kutenda haki kwa masheikh wao???
ni kuchukia watu wa dini nyingine
Sheikh Mohamed Aboubakar, hongera kwa kufafamua zaidi. Hongera sana.Kuna maana mbili zinazokubalika la neno udini. Hii maana uliyoileta ulihutaji kuifafanua zaidi, kwani umeielza kwa maana finyu sana. Binafsi nitakaribu kuifafanua kwa vile navyoelewa.
Udini unatafsiriwa kuongea mambo yanayohusu dini ktk siasa au utawala. Hii ni maana inayotoka kwa watu wenye mrengo wa UCCM. Kuwa kwa vile CCM dini moja ndio iliyoshika hatamu ya uongozi, basi ni kosa kwa wenye dini nyingine kuzungumzia ubaguzi na ukandamizwaji unaofanywa dhidi ya dini nyingine.
Ukandamizwaji huu unaweza kuwa ni kwa sababu ya chuki za dini kwa mgongo wa Serikali haina dini.
Maana ya pili ni neno Udini ni hali ya upendeleo unaonywanya na wenye mamlaka kupendelea dini walionayo na kukandamiza dini nyingine.
Sasa maana hii ya pili nadhani ndio yenye nguvu. Sasa kwa muktadha wa swali langu mtu anaposema hapendi mambo ya udini, wengi ktk watu hao wanaelewa udini ni hali ya kuchangia mijadala kuhusu masahibu wanayopata watu wa dini kutoka kwa watawala.
Kutokemea masahibu nayo ni sawa na kutotaka haki ionekane inatendwa na watawala madhalimu.
Hivyo kuna haja kila kundi ktk jamii linalounda taifa kuwa huru kuongea kile kinachowasibu dhidi ya watawala. na kuna umuhimu zaidi kuyahadili yako kuelekea kipimdi cha uchaguzi mkuu, ambapo iwapo makundi mengi zaidi wanajihisi kukandamizwa au kubaguliwa. Basi huu ni muda muafaka kwa kuwaondoa mamlakani
Nilijipa muda kulifuatilia mkuu na sikubaliani na hoja hii. Wapo wana CCM ambao dini yao ni uislam na ni waislam pia.Masheikh hawawezi kuwa karata , CCM imeshakataliwa, hakuna watakachokifanya kikawabadilisha watu mioyo yao.
Na kwa kukurekebisha kidogo, wana CCM dini yao ni CCM na sio Uislamu. wanaipenda na kuitii CCM Zaidi kuliko dini zao. Kuhakikisha hilo anza kufanya Survey mitaani kwa wana CCM kama upo huko Zanzibar utagundua kuwa hawana symptoms zozote na hao mashekhe bali unaweza kuta wanawatukana kabisa.
Shukran kwa ufafanuzi mkuuKuna maana mbili zinazokubalika la neno udini. Hii maana uliyoileta ulihutaji kuifafanua zaidi, kwani umeielza kwa maana finyu sana. Binafsi nitakaribu kuifafanua kwa vile navyoelewa.
Udini unatafsiriwa kuongea mambo yanayohusu dini ktk siasa au utawala. Hii ni maana inayotoka kwa watu wenye mrengo wa UCCM. Kuwa kwa vile CCM dini moja ndio iliyoshika hatamu ya uongozi, basi ni kosa kwa wenye dini nyingine kuzungumzia ubaguzi na ukandamizwaji unaofanywa dhidi ya dini nyingine.
Ukandamizwaji huu unaweza kuwa ni kwa sababu ya chuki za dini kwa mgongo wa Serikali haina dini.
Maana ya pili ni neno Udini ni hali ya upendeleo unaonywanya na wenye mamlaka kupendelea dini walionayo na kukandamiza dini nyingine.
Sasa maana hii ya pili nadhani ndio yenye nguvu. Sasa kwa muktadha wa swali langu mtu anaposema hapendi mambo ya udini, wengi ktk watu hao wanaelewa udini ni hali ya kuchangia mijadala kuhusu masahibu wanayopata watu wa dini kutoka kwa watawala.
Kutokemea masahibu nayo ni sawa na kutotaka haki ionekane inatendwa na watawala madhalimu.
Hivyo kuna haja kila kundi ktk jamii linalounda taifa kuwa huru kuongea kile kinachowasibu dhidi ya watawala. na kuna umuhimu zaidi kuyahadili yako kuelekea kipimdi cha uchaguzi mkuu, ambapo iwapo makundi mengi zaidi wanajihisi kukandamizwa au kubaguliwa. Basi huu ni muda muafaka kwa kuwaondoa mamlakani
Shukran kwa ufafanuzi zaidi mkuu.Sheikh Mohamed Aboubakar, hongera kwa kufafamua zaidi. Hongera sana.
Ila masaula ya udini bado ni mapana kwa upana wake kwa zaidi ya ulivyoeleza.
Mdini anajifahamu, mchoyo, mbinafs, mbaguzi, mzushi mchonganishi, uona mabaya zaidi ya upande auchukiao, na huwa haoni mabaya ya upande aubudiao.
Tumehusiwa kuwa na subra, kuwatambua na kukaa nao kwa akili.
Nilijipa muda kulifuatilia mkuu na sikubaliani na hoja hii. Wapo wana CCM ambao dini yao ni uislam na ni waislam pia.
Matumbo yetu tu mkuu
Naamini mkuu.Matumbo ya kikomo mkuu, Hebu jaribu kutathmini siku moja tu Maalim Seif awaseme ovyo mashekh halafu jiulize anaweza poteza wafuasi wangapi?
Wale wa CCM ni misukule kabisa, binafsi nilishawashuhudia wengi tu wakiwatusi hao mashekh.