ni wapi uliwahi kuona uncontested post kwenye siasa hasa za vyeo vya juu, kama SIO NCHI za kisocialist. Mimi niu mwana Chadema hai na hii hali siiafiki wala siipendi hili ni kaburi,tusiwasingizie wapinzani wetu kwa uoza wetu na ujinga wetu. Kwa nini ashauriwe kutoa form, je ni kweli Chadema ni Zitto peke yake aliyechukua hiyo form? come on now. we have to clean our own first.Naomba niseme kwamba mimi sio mwana Chadema. Si mwanchama wa chama chochote cha siasa. Ninachojali ni udhoofu wa sasa wa hali ya siasa na maendeleo ya Tanzania.
Nategemea CCM wangolewe na upinzani mwakani. Na kutokana na hali ilivyo, tegemeo langu ni kwamba Chadema itaongooza wapinzani ili waikomboe nchi toka kwenye mikono ya hao wanaozidi kuiangamiza.
Mbinu zozote za kuigawa Chadema zinanichukiza. Mbinu za kuwagawa Watanzania waliojiunga na JF ili kushirikiana kuleta mabadiliko, zinaniudhi. Kwa maoni yangu, ni CCM ndiyo inaweza kuwa na mipango ya kuwagawa Watanzania, hasa hawa walioko hapa JF.
Support inayopata Chadema hapa sio kitu kidogo. Kama kukiweko na habari za kupotosha hapa na kuwahimiza wana JF kwamba Chadema imekuwa chama cha kidikteta, na wana JF wengi wakahadaika kirahisi, basi sina budi kusikitika sana.
I do not have the latest news, as I live half a world away from Dar. But from what I have read on JF, there was no ban on Zittos wish to be the Chairman of Chadema. Why was the fact that he was advised to withdraw presented as dictatorship? Why was there a rush to persuade people that Chadema is bad? Why should I not suspect that there are evil intentions?
I call on all of us to set this matter aside and revert to our initial focus on how to bring change to our motherland.
Nyie nanyi mmetuchosha kwa hoja zenu dhaifu, mmevaa miwani yenye vioo vya mbao kiasi kwamba ukweli hamuuoni? Safu ya uongozi Chadema ni familia ya nani? Njooni na hoja za msingi.Chama cha wanafamilia cha mashemeji, wakwe ndugu wa kiume na wakike......habari ndo hiyo na kwa staili hii ccm itaendelea kuwabamiza hakika!!!!!!
haiwezekani wajumbe na viongozi wote wawe kabila moja.
mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dsm ni John Guninita sio mzaramo au mtu wa Dsm.anatoka Musoma.
Mwenyekiti wa Uwt mkoa wa Dsm ni Z.madabida ni mtu wa Rufiji.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Dsm ni Said kijana wa Tabora.
Naungana Kabisa na wewe maana huwezi kufanya CHADEMa itumbukie kwenye mgogoro kama vyama vingine siku za yuma, Lazima tuwe makini sana na watu kama hawa.. Maana huwa napata shida sana kusikia mambo haya. Mimi naungana na watu wote walifikia uamuzi wa kujitoa kwa Zitto ili CHADEMA iwe imaraNo is too early to make such comments, let us wait, baada ya muda tutajua kama ni right or not. Let us not be controlled by our emotions and ambitions!
[/QUOTE]Salamu kwenu wana JF. Natumaini nyote mu beheri waa afya, na leo tunaanza tena wiki ya mikiki mikiki kusaka riziki.
Ninatambua uchangiaji wa wana JF kuhusu ChaDEMA Taifa na Kilimanjaro.
Wasiwasi wangu hapa ni kuwa wachangiaji wengi ni wana CCM and so, wanajaribu kujifanya wachambuzi na viongozi wa kudhani lipi lafaa na bora kuliko lingine. Lakini wangepewa nafasi, holaaaaa!
1. Kwa taarifa yenu, Zitto alichukua form ili kuonyesha kuwa kuna makundi chadema lakini sivyo,.......it was a strategy kuwafungisha midomo wasioipenda chadema. Makubaliano yalikuwa CHUKUA FORM afu UJITOE. This is politics.
2. Uongozi wa Chadema kilimanjaro mbona unawaumizeni vichwa sana...wakati watu waligombea na kupewa kura....nyie mlitaka mwana mbilimbi aende na kupewa chama? Hivi political thinking za wengine zikoje? Ungepewa uongozi wewe na babayako ao another family member, ungekataa,,provided uliomba? Najua hamuwapendi wachaga, lakini ukweli haufichiki kuwa they are eligible and capable!
3. Chadema ni chama cha Demokrasia ya maendeleo, na Zitto amedhihirisha hilo,,,,,"najitoa chama kisigawanyike" hakuwa presurised. Kwa taarifa zenu, nilikuwa kwenye kikao cha wazee na najua kilichojiri. Mliotaka Ya lipumba na Safari yajiri chadema, poleni.
kujitoa kwa zitto kwa ushauri wa wazee wa chama ni pigo kwa demokrasia...shaka yangu ni kuwa hii inaweza kuiathiri chadema in the long term kwani zile tuhuma kuwa unahitaji kutoka kaskazini mwa Tanzania ili uwe kiongozi wa juu zitapata nguvu kwa staili hii ya demokrasia.
Una maana mambo ya ngoswe aachiwe ngoswe?