Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Status
Not open for further replies.

Asipohamia haimaanishi kwamba hakuwa na nia. Watu hubadilisha misimamo.
 

You may call me whichever name you see fit or even use derogatory terms ; but that will not stop me from speaking my mind. As I said before, when it comes to taking a stand on an issue I don't believe in mob psychology. I have been and will always be an independent thinker. This issue is not that complex as many want it to be, if you look at it from Chadema's interest perspective. Let the truth be told, Chadema was there before both Mbowe and Zitto became members and will continue to be there after they are long gone.

Wananchi, when it comes to party's politics is all about NIDHAMU na UVUMILIVU. Sadly, Honorable Zitto doesn't have those traits in his repertoire. It seems like many members in here are too theoretical when it comes to politics, you can not change the leadership of the party a year before an election unless there is abysmal flaws with the incumbent.
 
Last edited:
Zakumi: Siasa yetu ikiwa na maswali ya kipolisi kama yale ya mdahalo tutafika mbali.
Bluray: Sasa sijui unampre-empt Zitto au ndio unamuandalia mapito ili ajieleze vizuri.
Zitto: Sisi wapiga kura bado tunakusubiri uje humu kuijibu kiuwazi hii barua ya wazi.
 

Mkuu
Hapa tupo kwa ajili ya kuona Taifa letu linasonga mbele na sio kubebana kwa mbeleko ama kuuziana mbuzi ktk junia.Mkuu natofautiana na wewe 100% .
1.Kama kumusimamisha Zitto kugombea ndio suluhusho la kukinusuru chama basi hicho si CHAMA hakifai kabisa.Period.

2.Utahubiri je demokrasia wakati mwenyewe hui praktsi? hapana hapa sikubali kwa 100%.
 

sasa wameweka hizo election za nini? teh teh teh
 
Hivi nyinyi mna masikio lakini hamsikii na macho mnayo lakini hamuoni. Nimeambiwa mzee Mtei ambaye ni muasisi na mkwe wa Mbowe alisema hawezi kukubali chama chake kiongozwe na Zito.

Mama yake Zito ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania alikuwa anataka sana mwanae achukue. Lakini kuna watu waliomshauri amwambie Zito asing'anganie maana masulaa ya Chacha Wangwe bado hayajasahaulika. Kwa hiyo Zito kuogopa laana ya mama akatii. Ila ukweli ndiyo huo CHADEMA ni NGO ya wanafamilia kama mbili tatu hivi. Wengine ni vibarua. Hawana kiu ya kuchukua nchi bali kiu yao nikuwepo wepo mradi wanapata ruzuku na wanagawana pale juu basi. Unajua siasa Tanzania ukiwa na chama hata chenye mbuge mmoja nyie wa juu mambo yenu mazuri. Hiyo ndiyo mila ya kifisadi 'a la Tanzania'.
 
Sikubaliani na mambo yako mengi kama sio yote.

Mimi ninavyoona Nyerere alichofanikiwa ni kutuunganisha kuwa wamoja pia
Na Chadema wanachotafuta sasa ni kutuunganisha kwanza kama Nyerere alivyofanya. Katika uchanga huu wa Chadema, si vizuri kuruhusu mgawanyiko wa aina yoyote ile.
Kwa mantiki hayo unakubaliana nami.
Asante sana.
 

Rufiji,

Zitto kwa kuweka manyanga chini pale ambapo ana kila haki ya kuendelea ameonyesha nidhamu, uvumilivu na humility ya hali ya juu.

Ulitaka afanye nini zaidi at this point kuonyesha nidhamu na uvumilivu?

If your high regard for "nidhamu na uvumilivu" is not satisfied by this move, which I am sure is counter to Zitto's personal thinking and more about pragmatic moves to salvage the situation, and therefore exhibiting immense sacrifice and team spirit on the part of Zitto, what does it take to satisfy you?
 
I have been and will always be an independent thinker.

Unaweza ukajiita critical thinker or independent thinker; haileti tofauti yoyote ila ni wazi kwenye hili unatetea UPUPU maana hata pumba ni bora angalau nguruwe wanaweza wakala.
 
Haya mambo ya Zitto kugombea ama la ni merely sideshows na theatrics. Wananchi we need to focus on the real issues and challenges facing the nation.

Where does CHADEMA stand on these critical issues? This is what I believe voters should look at when assessing a political party.
 
Unaweza ukajiita critical thinker or independent thinker; haileti tofauti yoyote ila ni wazi kwenye hili unatetea UPUPU maana hata pumba ni bora angalau nguruwe wanaweza wakala.

Pole pole Engineer usianze kuchafua hali ya hewa hapa kama kawaida yako!
 
Zitto kwa kuweka manyanga chini pale ambapo ana kila haki ya kuendelea ameonyesha nidhamu, uvumilivu na humility ya hali ya juu.

Others may see it as being a sign of weakness i.e. folding easily under pressure, lacking tenacity and backbone to stay in the fight till the end.

Afterall, that was his right, right?
 

Umakini unataka watu wa focus kote, kwenye theatrics na real issues.

Inawezekana huku kwenye theatrics, ambako watu wanakuwa direct, ndiko tutaweza kuijua vizuri nature ya CHADEMA kuliko kwenye hizo prepared boilerplate manifesto zao zilizojaa u-Mnyika.
 
Pamoja na mtizamo wangu toka awali, nadhani sisi tunaweza kuendelea kusema na kuandika mengi ambayo sio rahisi yakapata majibu mepesi. Ukweli utabaki pale pale kuwa busara ndizo zilizotumika hadi CHADEMA kufika hapa walipo.

Chama cha siasa ni muunganiko wa watu wenye nia na lengo moja la kushika madara ya nchi. Hili jambo sio lelema hata kidogo. Kuna mambo mnegi pamoja na swich nyingi zinazohitajika kuhakikisha kuwa lengo linafanikiwa siku moja. Ukweli utabaki wazi kabisa, kuwa katika hawa wawili kila mmoja ana mapungufu yake, na ambao ulionekana wazi wazi katika harakati hizi za kuuendea uongozi wa juu kabisa wa chama.

Mimi nadhani viongozi wanaandaliwa na kupikwa ipasavyo. Naamini wazee wa chama wananafasi kubwa sana kwa mustakabali wa chama. Hawa wao hawapo kutawala, wala kupanda majukwaani tena, wao walishaachia ngazi. Kazi yao ni kuwalea na kuwajenga vijana wafikie hapo, na kuhakikisha kuwa miongoni mwao hawalaghaiwi wakaja kujikuta wanaanguka.

Naamini hapa ndipo chadema wanakozidiana na vyama vingine vya upinzani, kwa kuwa na wazee! Tutapiga tararira, lakini ukweli wazee wamejiridhisha kuwa Zitto ni hazina yao na bila shaka wakati mwafaka ukifika watamkabidhi mkuki MKUU. Tuwape nafasi!
 

Huu U-CCM sasa.
 
Mkuu umenifumbua macho, hivi kumbe dogo anataka kuongoza chama hana familia ya kwake mwenyewe? Hivi Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu hili??
Mahatama Ghandi alikuwa na mke?
 
Mahatama Ghandi alikuwa na mke?

hawa wanataka kuleta discrimination kwa watu wasiooa. Mimi sitaki kuoa, je ina maana sina haki ya kuongoza? Kwa misingi gani?

Hili halina tofauti na kumbagua mtu kwa misingi ya rangi, dini au kabila.

Kuoa au kutokua kwa Zitto hakuna uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wake wa kuongoza nchi.Hao waliooa wenyewe wengi tu ndoa zao ni za show, presidency yote ya Mkapa kama ingekuwa amri yao Mkapa na mama Anna wasingekuwa pamoja, ilikuwa ni show iliyoandaliwa na Nyerere kuwapatanisha ili Mkapa awe rais.

Kwa hiyo kwangu mimi ni bora niwe na kiongozi kama Zitto anayegombea kabla ya kuoa kuliko kuwa na Mkapa aliyeshindwa kukaa na mke wake, akatupa fraudulent charade kwamba wako pamoja na mama Anna wakati walishaanza proceedings za kutalikiana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…