The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Pasco,
Ni muhimu mno uwe na uhakika kabla ya kutoa accusations nzito kama hizo za kwamba Zitto atahamia CCM. Asipohamia sijui utamwomba msamaha mara ngapi?
Nafikiri ifike mahali tutofautiane kwa hoja; hizi dalili za kila aliye na mawazo tofauti basi anatumiwa au anataka kutimkia CCM mimi nafikiri hazitasaidia kujenga demokrasia ndani ya hivi vyama.
Kumbukeni hizi accusations zilielekezwa kwa Wangwe pia pale alipoonyesha nia kwamba huenda angempinga Mbowe.
Hivi kwanini tunaogopa sana mabadiliko? Kwanini tusiamini busara za wananchi au wanachama kufanya maamuzi ya maana?
Asipohamia haimaanishi kwamba hakuwa na nia. Watu hubadilisha misimamo.