Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu Magezi hivi kumbe ukipingana na mawazo ya Waasisi au kuchukua fomu kushindana na Mwenyekiti basi wewe moja kwa moja unakuwa labelled 'kibaraka wa CCM'?,kwa mtaji huu Tanzania itafika kweli? Ndugu yangu stereo typing ni dhambi kubwa ya ubaguzi ambayo mwisho wake huwa ni disaster and for your sad information ndo tayari mbegu ya ubaguzi ishapandwa CHADEMA,tusubiri mavuno. Unless of course uniambie kwamba Zitto ana akili ya kushikiwa,hapo nitakuelewa Mkuu.ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI MBOWE,ZIDUMU,ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI,ZIDUMU,CHADEMA HOYEEEE,HOYEEEE!!
 
Bluray,
Mkuu wangu kuoa ni part ya experience ktk responsibility ya Kiongozi..Sasa ikiwa wewe hutaki kuoa kwa sababu ambazo hazijulikani na pengine ni siri yako basi bila shaka hata ktk Uongozi wa chama sii siri tena ya wananchama kukuwekea shaka wewe na Ukapela wako. Pengine hupendi wanawake kama mke, sasa nani mbaguzi hapa wewe ulokataliwa kwa kutopenda wanawake au wale waliokukataa kwa sababu hupendi wanawake! maanake hili neno choice na uhuru wa mtu unaleta shida sasa hivi.

Haya maswala ya ubaguzi wa rangi, kabila na mengineo mkuu wangu tunayavuta sisi wenyewe..Kwa sababu sioni kama kuna Ubaguzi wowote ikiwa dada yangu akikukataa wewe kwa sababu wewe sii Mkerewe au Muislaam ila ni chaguo lake na ana kila haki kumchagua mume ampendaye kuongozana naye ktk maisha yake.
Na Posa kuzuiliwa mlangoni haina maana hupendwi au unachukukiwa isipokuwa zipo sababu nzito zaidi ya chuki na Demokrasia ambazo zinaweza kuondoa posa yako mlangoni ikiwa ni pamoja na huwezi kumchumbia dada yako mwenyewe..
 
yetu macho na masikio, maana tukisema inakuwa kelelee! any way this is politics, unaweza fanya uchambuzi kidogo juu ya vyama vya siasa Tanzania hasa baada ya mfumo wa vyama vingi na kujua historia na asili ya waasisi wa vyama tajwa. mfano UDP asili yake ni wapi na viongozi wa kitaifa lazima watoke? TLP wapi? CHADEMA wapi? huhitaji akili nyingi kuyapinga haya sana sana waweza pinga orrally lakini in reality inabaki kuwa Chadema ni chama cha wachaga
 
Mkuu wangu kuoa ni part ya responsibility ya Kiongozi...

Hapana Bob! Sidhani kama kuoa ni wajibu au jukumu la kiongozi. Wajibu na majukumu ya uongozi ni kuongoza. Maisha binafsi hayana uhusiano na uwezo wa kuongoza unless yanaingilia uwezo wako. Kwa mfano ulevi wa kupindukia....lakini ukapera....hapana Bob. Hilo sioni uhusiano wowote. Kuna mifano mingi tu ya viongozi wazuri duniani ambao maisha yao ya ndoa yaliwashinda lakini waliweza kuongoza vizuri tu.
 
Jamani hivi Mzee Mwanakijiji upo? sijaona mchango wako ktk hili sakata la zitto
Of course Mzee Mwanakijiji is speechless,hata ungekuwa wewe in his position ungekuwa flabbergasted.
 

Mkandara,

Only in backward societies like ours ndipo watu (wanaoukumbatia u backward huu) wanaweza kuiweka hii kama issue. Watu wanaweza kutokupa kura kwa kuunganisha mengi, lakini ukapera pekee si issue.Dennis Kucinich kaanza kugombea urais wa Marekani kabla hata ya kuoa, kaoa juzi juzi tu hapa.

Jesus Christ hakuoa, sasa unasema Jesus Christ hakuwa qualified kuongoza CHADEMA?

My point ni kwamba, kumkatalia mtu uongozi kwa sababu isiyo ya kikatiba ni uvunjaji wa katiba.Kumkatalia mtu uongozi kwa sababu ya social affiliation ni ubaguzi bila kujali kwa nini hajaoa. Kumkatalia mtu uongozi kwa sababu hajaoa hakuna tofauti na kumkatalia mtu uongozi kwa sababu ni Mmakonde, for all I care waliooa na wasiooa wako katika makabila makubwa mawili hayo, sasa kama hakuna sababu ya kikatiba hili kulisema ni aibu.

After all kuoa haku prove lolote.Mtu anaweza kuwa kaoa akawa totally irresponsible, na mwingine akawa hajaoa lakini ana discipline ya kitawa.

Niambie leo aje mtu machachari mwenye qualifications zote za kutuongoza, kasoro hajaoa tu, utamkubali au kumkataa?
 
Ngabu,
Nafikiri hukunielewa.. Naposema Kuoa ni wajibu na jukumu la kuongoza nachukulia ktk mapana ya ndoa hiyo yaani mume unakuwa kiongozi ktk familia ambayo ina malengo yake ikiwa ni pamoja na majukumu mengi sana. Kapela mkuu wangu haongozi kitu zaidi ya kivuli chake mwenyewe hivyo hatua ya Uongozi inaweza kuanza majumbani. nikiwa na maana huwezi kudai kufika chuo Kikuu kama hujawahi hata kuingia shule uya Msingi..
 

Vipi Kapela ambaye yupo involved kichizi katika community yake, anatafutia misaada shule, anashiriki kusafisha mitaa etc etc na mwanafamilia ambaye ni mlevi na deadbeat dad, nyumbani haonekani, anampiga mkewe, matusi mdomoni etc.

Nani yupo more qualified kuwa kiongozi kati ya hawa wawili?

wewe hujawahi kuona mtu hajaoa, and therefore hana immediate family yake yeye mwenyewe lakini ni kama ame adopt ukoo mzima kwa jinsi alivyokuwa wa msaada? Siyo lazima kuwa na familia yako ili uwe na mark ya responsibility.
 

Mkuu swali lako mbona majibu unayo unataka nini?

For any how anywhere, lazima kuna makundi, hata JKN hakupendwa na wote, babu yangu alimchukia kiasi cha kuwa akimuona tu anataka amrushie kiatu!

Maswali yako siyo magumu kiasi hicho, kama amejitoa kitu gani kinakufanya uwaze atakigawa chama na hukuwaza hivyo wakati anachukua form, unataka kusema wewe ni walewale wanaosubiri jambo litokee na sio kutabiri

after all unamshauri nini ? na kwa nini??
 
Bluray,Mkandara,..

..siasa kweli ni ngumu, haswa kwa watu kama mimi tunaopenda LOGIC.

..hili suala Professor Lipumba amelizungumzia vizuri sana.

..sidhani kama Zitto alikutana na wazee wa chama, viongozi wenzake, pamoja na mwenyekiti wake, kuwaeleza nia yake ya kugombea.

..sasa hivi kuna habari kwamba Dr.Slaa anaachia ukatibu wa chadema, na wazee wanataka Zitto achukue nafasi hiyo. sasa hamuoni kwamba kwa kiasi fulani hawa wazee wana hoja nzuri? hamuoni kwamba hoja ya wazee ni kuwa-retain both Mbowe na Zitto?

..halafu Zitto anasema anaondoa jina lake kugombea Uenyekiti ili kudumisha umoja ndani ya Chadema. je, alivyochukua fomu kwa mtindo alioutumia alikuwa akifikiria nini haswa?

..binafsi naona Zitto is not ready and has been wavering in a lot of issues. miezi michache iliyopita alikuwa ameamua kuachana na siasa na kwenda kuchukua PhD. baadaye akabadilika akasema anarudi kugombea ubunge Kigoma kaskazini. sasa hivi anakuja tena anasema anataka kugombea na Uenyekiti wa Chadema.

NB:

..in the end, and i am very sorry to feel this way, and i hope i am wrong, but may be Absalom Kibanda was right.
 

Hehehehee..kuwa mwangalifu usije ukaitwa 'male chauvinist pig' bure maana viongozi si wanaume tu.

Kuna mifano mingi tu ya viongozi wa ngazi nyingi, wake kwa waume, ambao hawajaoa wala kuolewa. Kwa mfano mama Condoleeza Rice, jaji wa mahakama kuu ya Marekani Sonia Sotomayor, kuna mtu hapo juu kamtaja Gandhi, na wengineo wengi tu.

Kuna viongozi wengi wazuri tu ambao familia zao zimewashinda. Kwa kweli sioni muunganiko wowote hapo. Uongozi wa familia na uongozi wa mambo mengine unahitaji skill set tofauti ingawa zingine zinaweza zikaingiliana.
 
Unaweza ukajiita critical thinker or independent thinker; haileti tofauti yoyote ila ni wazi kwenye hili unatetea UPUPU maana hata pumba ni bora angalau nguruwe wanaweza wakala.


I am not going to waste my precious time arguing by with you. It seems you are so closed-minded and you can't think outside the box. The fun thing is you kept on attacking me, instead of refuting my argument. Sadly, you are using an engineer as your alias; the question I kept on asking myself is what kind of an engineer who can't do simple calculations like putting two and two together.
 
Mkuu Kapela anayesaidia jamii yake ni Msaidizi, sii jukumu lake kwani yeye ana maisha yake kama vile tunavyotegemea Misaada ya IMF.. IMF haipo responsible na maendeleo au well being ya nchi yetu isipokuwa yule anayekuwa committed na tunaweza kumhukumu kwa makosa yake ya dhamana alokabidhiwa..

Kwa hiyo, Msela yeyote anayekuwa involved kichizi na community yake hutumia kile kilichobakia au cha ziada ktk budget yake kusaidia lakini somo zima ni kwamba hana Ulazima wa kufanya anayofanya..

Tukirudi kwa mwanafamilia ambaye ni mlevi, chokambaya hana habari na familia, hapa tayari tumekwisha elewa Ubovu na mapungufu ya mtu huyoi ktk cheo anachokitaka.. yaani anapenda kuitwa baba kumbe hafai hivyo hafai kuwa baba. Tofauti na Kapela ambaye anaweza kuwa baba lakini anaogopa kuchukua dhamana ya Ubaba - he does when it's convinient to him kinyume na mwanafamilia ambaye hatimizi majukumu yake.
 

True true....he's a flip-flopper. He can't make his damn mind about what he wants. One minute he says he's quitting politics to focus on school...the next minute he says no..I'm going to run....now he wants to run for the chairmanship of his party....then he withdraws his name....

I don't know which is which with him. Decide on one thing and stick with it. Come on Zitto...you need to make up your damn mind and stop confusing folks.
 
Zitto ni kuwadi wa mafisadi ashindwe na alegee.Dowans itaendelea kumtafuna mpaka atakapoingia kaburini.Kinara wa ufisadi hatuwezi kumpa chama labda aende CCM kwa mafisadi wenzake.
 


You have nailed it , I couldn't agree with you more.
 


What one sees as a flip-floper, another sees as a pragmatic thinker who constantly updates his decision by acquiring new input and assesing the position anew.

I would rather have somebody who changes his target every second as the target moves and shooting conditions change, than someone with a rigid aim at a moving target.
 

..maswali haya ni ya msingi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…