Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Alikuwa na jabza sana juu ya tuhuma kama hizi. hata kama anawajua kuwa watu toka makao makuu lakini sio sehemu yake ya kuyasema haya mambo, inabidi wakae barazani kwao na watu kama Mnyika na wengine na sio kusemana hapa mithili ya majungu hayawell yeah i made a mistake ....zitto anaweza ku pleadge temporay insane.......manake hii alotuachia leo si ya kawaida
Hakuna cha mzimu wala pepo wa wangwe hapo. Zitto anatafuta pa kutokea ili arudi CCM.
Hizi sasa ni double standards!Walipotoka ktk vikao vyao CCM zilianzishwa thread za yale yaliyosemwa na yalisemwa na nani....Zikamwagika thanx kama mvua!Leo yanasemwa ya vikao vya CHADEMA wanaanza oh,siri oh yandani....Two wrongs don make a right,yes...Lakini hii ya kushangilia ya upande mmoja tu as if they are public infos sio sahihi kwa mtazamo wangu.
This is part of spinning. Uwongo, uzushi nk. Tatizo wanaopanga haya wanasahau kuwa tuliyapanga wote dhidi ya marehemu Chacha Wangwe. Unatengeneza uwongo, unausambaza, na hatimaye wewe mwenyewe unauamini kuwa ni kweli.
Kama kuna kitu kilimuuma marehemu wangwe na alikufa nacho ni kile cha kumsema kuwa alikuwa anatumiwa na mafisadi. Namshukuru Mungu kuwa nilimwomba radhi Chacha kabla na baada ya kifo chake siku ya postmorterm kwa kumzushia uwongo.
Asha ni mmoja wa wenzangu tulioshiriki kumtenda Chacha. Wanatumia mtindo ule ule na wanapita njia zile zile. Rashidi wa Kuli alisema, YANA MWISHO HAYA!
Asha, (ninakujua wewe ni nani) kuwa mkweli wa nafsi yako! Utalipwa hapa hapa duniani kwa uzushi wako na wenzako.
To put record clear - Kasisiko sio ndugu yangu wa damu. Ni mwenyekiti wangu tu wa Mkoa Kigoma. Pili, Baregu hajahudhuria kikao hata kimoja cha wazee toka ajue ukweli wa mambo.
Tatu, chama jana kimechagua rasmi Baraza la Wazee na mgombea aliyekuwa ananiunga mkono waziwazi ameshinda. Inakuwaje bado vikao vya wazee vya chama vinaendeshwa na Mtei na Ndesamburo?
Pili, vyombo vyote vya habari vilikuwapo katika hotuba ya Mtei. Imekuwaje NIPASHE peke yake ndio ione alisema kuna ufisadi kwenye chaguzi za chama? Mhariri mtendaji wa Nipashe ni jesse kwayu kutoka Machame. Mmiliki wa Nipashe ni Reginald Mengi kutoka Machame.
Spinns sio sustainable. Acheni tujenge chama chetu.
Mkuu Mwafrika huku sasa ni kuficha vichwa kama mbuni....Wala haitusaidii zaidi ya kuonyesha kuwa na mawazo biased.
Mkulu Zitto,
Ni wewe umeandika hayo! Siamini! Naomba Mungu waandishi wanaochukua habari hapa JF wasiione hii, maana wakiiweka kwenye media sijui utapita wapi?
Yaano mkuu unaandika in plural kuwa mlimtenda Wangwe kwenye public from kama hii, kisha ulitaka kuwa mwenyekiti wa chama? Are u kidding us or what?
Okay, sijui imekaaje lakini huoni kama inaweza kuwa activate polisi kufatilia what exactly hapenned?
Yaani unadhani hapa Jf watu watakuona wa maana kwa 'kuropoka' huku ulikofanya? OOh my God, nadhani tulikuwa hatukufahamu vizuri,
na tutajuuuuuuuuuuta kukuufahamu! au mtu kaiba password?
Hili bandiko will go down in history be it your rise or ur fall.
siamini kama zitto anaweza kuandika hayo...maana maadui zake na chama chake wanaweza kuyatumia vibaya....wataunganisha dots na maneno ya yule kijana ..aliyefungwa dodoma itakuwa hatari hapo...
Mzee mzima naona ameamua liwalo na liwe! Sintoshangaa akiibukia CCM!
Kwani wewe umetumwa na nani aisee,acha tuhuma zisizo kuwa na maana,maoni yanayotolewa hapa yana lengo la kuijenga na kuiimarisha CHADEMA na si kuibomoa kama wewe unavyofikiri.....Ukweli unaumatarehe yako ya kujiunga na data unazotoa na wasiwasi nawewe si mtu mwema hatakidogo!!ni mvurugaji may be we sio kingunge ngombale mwiru wewe?au hajakutuma?wana JF jihadharini na huyu mtu hana la maana
Mzee mzima naona ameamua liwalo na liwe! Sintoshangaa akiibukia CCM!
wananchi wa kigoma wamekuwa waaminifu sana kwa wapinzani ...kumbukeni enzi ya WALID KABOUROU...walikuwa naye ,wakapigwa naye, tangu kugombea udiwani na AZIM PREMJI ....hadi ubunge..ilikuwa fahari...
singependa kuona ikitokea tena safari hii ...wakitumka kama madaraja ya kuwavusha watu kwenda CCM....itakuwa wana kigoma na watanzania hawatendewi haki.......sidhani kama bado kaborou akienda kigoma watu wanakesha stesheni kumsubiri kama zamani au wanamuona msaliti..kwanini...?? why??
nadhani zitto ccm wanamtamani....ila nadhani anajuwa wana kigoma na CHADEMA na watanzania kwa ujumla wanapenda vijana kama yeye wabakie upinzani....!!!.....
..roho itatuuma sana ...maana sisi wapiga debe tumekuwa tukitumika kuwabeba tu ...kama mwalimu alivosema waaache wawabebe tu...tunaendelea kuwabeba kama maiti
Hii ya leo kali. Zitto, kwa maneno haya, atakuwa na uhalali wa kuwa kiongozi wa kuaminiwa ndani ya Chadema na umma?
This is part of spinning. Uwongo, uzushi nk. Tatizo wanaopanga haya wanasahau kuwa tuliyapanga wote dhidi ya marehemu Chacha Wangwe. Unatengeneza uwongo, unausambaza, na hatimaye wewe mwenyewe unauamini kuwa ni kweli.
Kama kuna kitu kilimuuma marehemu wangwe na alikufa nacho ni kile cha kumsema kuwa alikuwa anatumiwa na mafisadi. Namshukuru Mungu kuwa nilimwomba radhi Chacha kabla na baada ya kifo chake siku ya postmorterm kwa kumzushia uwongo.
Asha ni mmoja wa wenzangu tulioshiriki kumtenda Chacha. Wanatumia mtindo ule ule na wanapita njia zile zile. Rashidi wa Kuli alisema, YANA MWISHO HAYA!
Asha, (ninakujua wewe ni nani) kuwa mkweli wa nafsi yako! Utalipwa hapa hapa duniani kwa uzushi wako na wenzako.
To put record clear - Kasisiko sio ndugu yangu wa damu. Ni mwenyekiti wangu tu wa Mkoa Kigoma. Pili, Baregu hajahudhuria kikao hata kimoja cha wazee toka ajue ukweli wa mambo.
Tatu, chama jana kimechagua rasmi Baraza la Wazee na mgombea aliyekuwa ananiunga mkono waziwazi ameshinda. Inakuwaje bado vikao vya wazee vya chama vinaendeshwa na Mtei na Ndesamburo?
Pili, vyombo vyote vya habari vilikuwapo katika hotuba ya Mtei. Imekuwaje NIPASHE peke yake ndio ione alisema kuna ufisadi kwenye chaguzi za chama? Mhariri mtendaji wa Nipashe ni jesse kwayu kutoka Machame. Mmiliki wa Nipashe ni Reginald Mengi kutoka Machame.
Spinns sio sustainable. Acheni tujenge chama chetu.
Kitendo cha CHADEMA kumtuhumu Zitto waziwazi kuwa anatumiwa na mafisadi na kwamba katoa rushwa kwenye uchaguzi wa Vijana pamoja na kumhusisha mama yake mzazi ndo kimepelekea Zitto kuja na haya.Swali je?,ilikuwa ni sahihi kwa baadhi ya viongoiz/wazee wa CHADEMA kumtuhumu Zitto waziwazi kuwa anatumiwa na mafisadi na ni mtoa Rushwa???,Zitto alitendewa haki katika kuchafuliwa hukU???Hakuna napingana na wewe.
Sauli leo paulo alitubu na akawa kiongozi mzuri,mtu anayetenda mabaya na kuja kuyakiri huyu twamhitaji.
Hii move ni sahihi kabisa kwa Zitto hatujui watakuja kufanya nini na plan C baad ya plan B.
Si sahihi kwa zitto kukaa kimya saizi kama anaona dalili za kumwoondoa kutokuwa mwenyekiti bado kuna harakati za kwenda mbali zaidi.
Wewe Mkandara kaa kimya muonja, asali haonji mara moja hujikita na kuchonga mzinga.