johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Luka anasema yeye siyo chawa bali ni kunguni.Taarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka
Kuna chuki kubwa sana inasambazwa ndio Sababu Chawa mhamiaji mchungaji Msigwa Kasi yake imepungua sana
Inadaiwa CHAWA wanaoneana Wivu sana na Sasa wanatambiana tu mfano CHAWA Mwijaku anakula Bata Dubai Wakati mwenzake CHAWA Lucas Mwashambwa anafanya kibarua Cha kuandaa Mashamba ya mpunga matopeni Ubaruku π
Tutegemee Uzushi mwingi kutoka kwa Chawa ila ukiona Liner imerudi ujue na mwenye chombo alisharudi
Baadaye Mlale Unono π
Acha moshi dogoLuka anasema yeye siyo chawa bali ni kunguni.
Mama mitano tena, ama vipi ndugu zangu?πΉπΏπΉπΏπΉπΏπ€£π€£π€£ππTaarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka
Kuna chuki kubwa sana inasambazwa ndio Sababu Chawa mhamiaji mchungaji Msigwa Kasi yake imepungua sana
Inadaiwa CHAWA wanaoneana Wivu sana na Sasa wanatambiana tu mfano CHAWA Mwijaku anakula Bata Dubai Wakati mwenzake CHAWA Lucas Mwashambwa anafanya kibarua Cha kuandaa Mashamba ya mpunga matopeni Ubaruku π
Tutegemee Uzushi mwingi kutoka kwa Chawa ila ukiona Liner imerudi ujue na mwenye chombo alisharudi
Baadaye Mlale Unono π
Siyo tu kunguni. Ni Mnyoo pia.Luka anasema yeye siyo chawa bali ni kunguni.
Kubwa la MAKUNGUNISiyo tu kunguni. Ni Mnyoo pia.
Huwa anatoka na Makonda sometimes na kafulila. Ndo wanamweka mjini.dogo ameshaharibika kabisa.huko nyuma hakuwa hivyoKubwa la MAKUNGUNI
Nilihisi tu kwamba sio Bure huyu dogoHuwa anatoka na Makonda sometimes na kafulila. Ndo wanamweka mjini.dogo ameshaharibika kabisa.huko nyuma hakuwa hivyo
Basi wewe Chawa kama alivyosema Jo, sawa sawa?Acha moshi dogo
Huyo chawa Lucas Mwashambwa hajaenda Cuba na Kizimkazi?Taarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka
Kuna chuki kubwa sana inasambazwa ndio Sababu Chawa mhamiaji mchungaji Msigwa Kasi yake imepungua sana
Inadaiwa CHAWA wanaoneana Wivu sana na Sasa wanatambiana tu mfano CHAWA Mwijaku anakula Bata Dubai Wakati mwenzake CHAWA Lucas Mwashambwa anafanya kibarua Cha kuandaa Mashamba ya mpunga matopeni Ubaruku π
Tutegemee Uzushi mwingi kutoka kwa Chawa ila ukiona Liner imerudi ujue na mwenye chombo alisharudi
Baadaye Mlale Unono π
Ndo madogo wa sasa wanataka maisha kwa urahisi. Wanafanywa mambo machafuNilihisi tu kwamba sio Bure huyu dogo
Masikini wazazi wake wamekula hasara. Mtu unafurahia umepata dume la mbegu kumbe umewaletea wahuni mke. Inasikitisha sana.Ndo madogo wa sasa wanataka maisha kwa urahisi. Wanafanywa mambo machafu
Mmeshaanza kugeukana.. Na badoπTaarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka
Kuna chuki kubwa sana inasambazwa ndio Sababu Chawa mhamiaji mchungaji Msigwa Kasi yake imepungua sana
Inadaiwa CHAWA wanaoneana Wivu sana na Sasa wanatambiana tu mfano CHAWA Mwijaku anakula Bata Dubai Wakati mwenzake CHAWA Lucas Mwashambwa anafanya kibarua Cha kuandaa Mashamba ya mpunga matopeni Ubaruku π
Tutegemee Uzushi mwingi kutoka kwa Chawa ila ukiona Liner imerudi ujue na mwenye chombo alisharudi
Baadaye Mlale Unono π
Tunasubiri fungu nono la kampeni kutoka Oman na DubaiTaarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka
Kuna chuki kubwa sana inasambazwa ndio Sababu Chawa mhamiaji mchungaji Msigwa Kasi yake imepungua sana
Inadaiwa CHAWA wanaoneana Wivu sana na Sasa wanatambiana tu mfano CHAWA Mwijaku anakula Bata Dubai Wakati mwenzake CHAWA Lucas Mwashambwa anafanya kibarua Cha kuandaa Mashamba ya mpunga matopeni Ubaruku π
Tutegemee Uzushi mwingi kutoka kwa Chawa ila ukiona Liner imerudi ujue na mwenye chombo alisharudi
Baadaye Mlale Unono π
Ila duu, bora chawa kuliko kunguniLuka anasema yeye siyo chawa bali ni kunguni.