Pre GE2025 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Chawa wamevurugana kwa Sababu Kasungura ni Kadogo, tutegemee Uzushi, Fitna, Unafiki na Uzandiki mara dufu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Taarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka

Kuna chuki kubwa sana inasambazwa ndio Sababu Chawa mhamiaji mchungaji Msigwa Kasi yake imepungua sana

Inadaiwa CHAWA wanaoneana Wivu sana na Sasa wanatambiana tu mfano CHAWA Mwijaku anakula Bata Dubai Wakati mwenzake CHAWA Lucas Mwashambwa anafanya kibarua Cha kuandaa Mashamba ya mpunga matopeni Ubaruku 😂

Tutegemee Uzushi mwingi kutoka kwa Chawa ila ukiona Liner imerudi ujue na mwenye chombo alisharudi

Baadaye Mlale Unono 😀
 
Luka anasema yeye siyo chawa bali ni kunguni.
 
Mama mitano tena, ama vipi ndugu zangu?🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤣🤣🤣🙏🙏

Tuombee nchi yetu kwenye hii interm period!!!
 
Taarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka

Kuna chuki kubwa sana inasambazwa ndio Sababu Chawa mhamiaji mchungaji Msigwa Kasi yake imepungua sana

Inadaiwa CHAWA wanaoneana Wivu sana na Sasa wanatambiana tu mfano CHAWA Mwijaku anakula Bata Dubai Wakati mwenzake CHAWA Lucas Mwashambwa anafanya kibarua Cha kuandaa Mashamba ya mpunga matopeni Ubaruku 😂

Tutegemee Uzushi mwingi kutoka kwa Chawa ila ukiona Liner imerudi ujue na mwenye chombo alisharudi

Baadaye Mlale Unono 😀
Huyo chawa Lucas Mwashambwa hajaenda Cuba na Kizimkazi?
 
Mmeshaanza kugeukana.. Na bado😂
 
Tunasubiri fungu nono la kampeni kutoka Oman na Dubai

Kama wewe hauko karibu na Abdul shauri yako

Chawa huu mwa wetu
 
Back
Top Bottom