johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Taarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka
Kuna chuki kubwa sana inasambazwa ndio Sababu Chawa mhamiaji mchungaji Msigwa Kasi yake imepungua sana
Inadaiwa CHAWA wanaoneana Wivu sana na Sasa wanatambiana tu mfano CHAWA Mwijaku anakula Bata Dubai Wakati mwenzake CHAWA Lucas Mwashambwa anafanya kibarua Cha kuandaa Mashamba ya mpunga matopeni Ubaruku 😂
Tutegemee Uzushi mwingi kutoka kwa Chawa ila ukiona Liner imerudi ujue na mwenye chombo alisharudi
Baadaye Mlale Unono 😀