Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

Naona Sasa hv mtandao hamna kitu zaidi naingia hapa Jf tu na Vpn nili Uninstall sa kuichukua play store ndio shida tena maana hamna internet
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
UFO VPN pia haina makeke ni chap chap ukidownload kazi yako ni kuconect nchi unayotaka then unakula mema ya nchi
 
Playstore imeshapigwa pin
 
Hata wakizima mitandao ccm itashindwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…