Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

Hakuna mtandao utakaozimwa Kiongozi
 
Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Kipindi kama hiki 2015 ndio vifurushi vya kuperuzi mitandaoni vilipanda bei bila taarifa lakini kwa vile wananchi walikuwa huru kusema hawakuliona hili...ama hawakulizingatiaView attachment 1533286

Jr[emoji769]
Haisaidii, nadhani picha hii ni ya Belarus lakini bado haikusaidia. Pamoja na pressure kutoka USA, EU na kwingineko, Rais aliyechaguliwa anaendelea na kazi aliyoaminiwa na wanachi wake. Watanzania wameamua kwenda na JPM, hakuna namna ya kwenda kinyume na chaguo la watanzania hao wengi. You better join the team
 
Mfano wakizima internet kabisa,VPN inasaidia chochote?
Nimeongea na Mwamba wangu Fulani Ivi wa Mamlaka Anasema Internet full haitawezwa kuzimwa; Maana Access Control haijakaa vizuri (Group Access Controll haijakaa vizuri kwenye mfumo) Hivyo wakizima Option ni kuzima kwa woteee hata wenye mamlaka; Sasa wenye mamlaka wamesema hiyo haitafaa, wao pia wanahitaji.

Mlioko Tz, VPN ni muhimu haipingiki ili kuhabarishana kwa kipindi hiki, Mfano Asubuh nimetuma MoneyGram Kwa dogo Kutuma Picha ya Receipt alishindwa kuifungua, Mpaka nilipoingia Humu JF na kupata Info kwamba Kuna shida nikamwambia aweke VPN ndio amepokea Picha ya receipt.
 
twitter haifunguki,nimejaribu mara3 kimya.....hawa jamaa ni viazi sana wanataka tuangalie tbccm.
Kote kumepigwa pini kasoro JF....kuna sababu maalum nadhani
 
Nimeongea na Mwamba wangu Fulani Ivi wa Mamlaka Anasema Internet full haitawezwa kuzimwa; Maana Access Control haijakaa vizuri (Group Access Controll haijakaa vizuri kwenye mfumo) Hivyo wakizima Option ni kuzima kwa woteee hata wenye mamlaka; Sasa wenye mamlaka wamesema hiyo haitafaa, wao pia wanahitaji.

Mlioko Tz, VPN ni muhimu haipingiki ili kuhabarishana kwa kipindi hiki, Mfano Asubuh nimetuma MoneyGram Kwa dogo Kutuma Picha ya Receipt alishindwa kuifungua, Mpaka nilipomwambia aweke VPN ndio amepokea Picha ya receipt.
Hebu tufundishe kuweka VPN tafadhali
 
Hebu tufundishe kuweka VPN tafadhali
Mkuu Mshana, Unweza Ingia AppStore ( kama mtumiaji wa Iphone, na Playstore kwa Android) Kisha , Andika Secure VPN, itakuja Angalia yenye Alama ya Blue ina kaufunguo hivi. Then Download Hiyo, Niko nayo tayari Ila kila nikiweka hapa inagoma.

Secure VPN ni Light (Nyepesi hata kwa watumiajai wa simu zenye uwezo mdogo)
 
Kwanini unatumia money gram badala ya wave ambao pia ni bure kabisa kutuma na hela inaingia kweny simu
 
Back
Top Bottom