Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

Sipati YouTube kabisaaa!! Nimeshindwa kufuatilia mkutano wa Chadema Tanganyikapekazz!!
 
Wapumbavu wakubwa hawa!

Hivi huwa wanafikiri Tanzania ni mali ya baba yao!?

Yaani kakikundi cha watu wachache wenye mashati ya kijani wanataka kutugeuza watanzania milioni sitini kuwa watumwa?

Jamani, hii ni nchi yetu sote! Hakuna mtumwa na mtwana wake humu!

Siasa zimewashinda wameamua kuanza kutuchokonoa makalioni kabisa!

Ati oohhh tumetekeleza kwa kishindo!! Hii hofu yote yatoka wapi?
 
Acha kutosha watu wewe,Watumiaji wa mitandao ni wachache kuliko wapiga kura,bado hamjaweza kuitisha serikali kwa kutumia mtandao
Bado unaamini hiki ulichoandika? Au ulijiandikia tu nawe uonekane mjuaji?
 
Back
Top Bottom