Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
VPNWana IT muanze kutoa shule ya namna ya kutumia VPN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VPNWana IT muanze kutoa shule ya namna ya kutumia VPN
Muda huu appstore inagoma kbs kufungukaNimedownload asubuhi ikawa sijaipenda nakuja rudia AppStore inagoma kufunguka.
Muda huu appstore inagoma kbs kufunguka
Wanapunguza bandwidth mazee, Whatsapp already down, Facebook down, Telegram downYani wanakosea sana sasa AppStore imewafanya nini au YouTube hapa ningekuwa naangalia highlights za kikapu.
Wanapunguza bandwidth mazee, Whatsapp already down, Facebook down, Telegram down
Ushaingia mkuu??Ilifikia hii hatua tutaandamana[emoji22] Serious nasema nitaingia barabarani bango langu kudai uhuru[emoji3525]
Yamekuwepo mashambulizi ya kimtandao takribani 13,314 yanayoshambulia miundombinu ya JamiiForums.com kuzuia upatikanaji wake ambayo mpaka sasa yamedhibitiwa
Huduma bado ipo imara na ulinzi unaimarishwa
Unaongea kama unakunya vileWapumbavu wakubwa hawa!
Hivi huwa wanafikiri Tanzania ni mali ya baba yao!?
Yaani kakikundi cha watu wachache wenye mashati ya kijani wanataka kutugeuza watanzania milioni sitini kuwa watumwa?
Jamani, hii ni nchi yetu sote! Hakuna mtumwa na mtwana wake humu!
Siasa zimewashinda wameamua kuanza kutuchokonoa makalioni kabisa!
Ati oohhh tumetekeleza kwa kishindo!! Hii hofu yote yatoka wapi?
habari njema hiziMAJARIBIO ZAIDI YA 13,300 KUIZIMA JF YADHIBITIWA NDANI YA SAA 24
habari njema hizi
Hata mimi, nimejaribu toka asubuhi imeshindikanaMuda huu najaribu kutuma pcha kwa WhatsApp zaidi ya saa 1 imepita picha zmeganda tu...ila msg znaenda
Hata msg haziendi.Wameshafanya yao...hata google bilabila bado JF tuu
Vpn ndo mpangoHata mimi, nimejaribu toka asubuhi imeshindikana
leo nitakuwa zamu lindoni hapa jf,niishuhudie hii vitaWalijiandaa lakini leo usiku itakuwa ni vita kali sana.
Mkuu umeandamania mtaa upi?Ilifikia hii hatua tutaandamana[emoji22] Serious nasema nitaingia barabarani bango langu kudai uhuru[emoji3525]
Mkuu umeandamania mtaa upi?