GE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu wa october 2025, agenda kuu ya taifa ni moja tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya Tanzania.

Usibishane na mtu kuhusu agenda hii ya lazima na muhimu sana isiyoepukika kwa mustakabali mwema wa Taifa letu.

Hiyo ndio agenda ya waTanzania wote kwasasa.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Diamond: Nipeni barua yangu!
Wamama: Niisome!
Diamond: Nataka barua yangu !
Wamama: Niisome!
Diamond: Nasema barua yangu!
Wamama: Niisomeeeee!!!
Diamond: ayeeeeeeeeyee!!
Kinanda: tiririri riririri
 
Kataa wahuni
 
Watanzania wote ? Una akili kweli
 
Hiyo ni ajenda yako wewe na machawa wenzako, sio ya Watanzania.
 
Ni kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya Tanzania.

Usibishane na mtu kuhusu agenda hii ya lazima na muhimu sana isiyoepukika kwa mustakabali mwema wa Taifa letu.

Hiyo ndio agenda ya waTanzania wote kwasasa.

Mungu Ibariki Tanzania
Atakuelewa Lukas Mwashambwa!
 
Diamond: Nipeni barua yangu!
Wamama: Niisome!
Diamond: Nataka barua yangu !
Wamama: Niisome!
Diamond: Nasema barua yangu!
Wamama: Niisomeeeee!!!
Diamond: ayeeeeeeeeyee!!
Kinanda: tiririri riririri
zingatia agenda kuu ya taifa gentleman
 
Katiba ya chama inasema kamalizia awamu yake ya pili akimwakilisha JPM... Wakati huu lazima kuwe na mchuano ndani ya chama!
Aache tabia za kupe
huo ulazima huenda ni wa huko kwenu gentleman,

muhimu sana kuzingatia agenda hiyo ya taifa na kuieneza kwa kila mTanzania.

usipuuze Tafadhali.
 
Back
Top Bottom