Oktoba Tunatiki ✔️ na HAKUNA cha kutuzia!👍👍👍👍!!Ni kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya Tanzania.
Usibishane na mtu kuhusu agenda hii ya lazima na muhimu sana isiyoepukika kwa mustakabali mwema wa Taifa letu.
Hiyo ndio agenda ya waTanzania wote kwasasa.
Mungu Ibariki Tanzania
Kwahiyo mimi mrundi au siondio,
hiyo ni agenda ya wananchi na waTanzania wote
Hivi mtu kutoka bara anaweza kuwa rais Zanzibar?huenda umeghafilika kwa kukosa uzalendo tu gentleman,
hata hivyo bado unayo fursa na nafasi ya kuungana na waTanzania wengine wote kusukuma agenda hiyo muhimu sana kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Nayo ni hii hapa:-Kuelekea uchaguzi mkuu wa october 2025, agenda kuu ya taifa ni moja tu
hiyo nonsense ilikataliwa chadema na chadema ikafa gentleman 🐒Nayo ni hii hapa:-
NO REFORMS NO ELECTION 📌
#KataaWahuni
#KataaMatapeli
#KataaWezi
#KataaMafisadi
#OktobaHatutiki
October 2025 hatoboi
katiba ya Zanzibar iko very clear kwenye hilo gentleman.Hivi mtu kutoka bara anaweza kuwa rais Zanzibar?
Ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣Nayo ni hii hapa:-
NO REFORMS NO ELECTION 📌
#KataaWahuni
#KataaMatapeli
#KataaWezi
#KataaMafisadi
#OktobaHatutiki
October 2025 hatoboi
Hiyo October utachagua k.......u...ndu lako tu.Ni kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya Tanzania.
Usibishane na mtu kuhusu agenda hii ya lazima na muhimu sana isiyoepukika kwa mustakabali mwema wa Taifa letu.
Hiyo ndio agenda ya waTanzania wote kwasasa.
Mungu Ibariki Tanzania
hongera kutambua kua JF ni shule na darasa tosha la kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa.Hiki kipindi kuelekea Oktoba kimeniongozea ujuzi wa kuchakata taarifa zinazoletwa hapa jukwaani...ili kupata kinachoendelea! Hata hivyo najua Moderators wako busy kweli kweli kipindi hiki!