Kataa wahuniNi kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya Tanzania.
Usibishane na mtu kuhusu agenda hii ya lazima na muhimu sana isiyoepukika kwa mustakabali mwema wa Taifa letu.
Hiyo ndio agenda ya waTanzania wote kwasasa.
Mungu Ibariki Tanzania
Watanzania wote ? Una akili kweliNi kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya Tanzania.
Usibishane na mtu kuhusu agenda hii ya lazima na muhimu sana isiyoepukika kwa mustakabali mwema wa Taifa letu.
Hiyo ndio agenda ya waTanzania wote kwasasa.
Mungu Ibariki Tanzania
Hiyo ni ajenda yako wewe na machawa wenzako, sio ya Watanzania.Ni kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya Tanzania.
Usibishane na mtu kuhusu agenda hii ya lazima na muhimu sana isiyoepukika kwa mustakabali mwema wa Taifa letu.
Hiyo ndio agenda ya waTanzania wote kwasasa.
Mungu Ibariki Tanzania
Na sio ya ccmHiyo ni ajenda yako wewe na machawa wenzako, sio ya Watanzania.
Atakuelewa Lukas Mwashambwa!Ni kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya Tanzania.
Usibishane na mtu kuhusu agenda hii ya lazima na muhimu sana isiyoepukika kwa mustakabali mwema wa Taifa letu.
Hiyo ndio agenda ya waTanzania wote kwasasa.
Mungu Ibariki Tanzania
Nireteen Lukas Mwashambwa!Nireteeni traaa traaa
Nireteeni traatraa
Huyu rukasi naona boss wake hajameezesha bando hizi siku mbili tatuNireteen Lukas Mwashambwa!
zingatia agenda kuu ya taifa gentlemanDiamond: Nipeni barua yangu!
Wamama: Niisome!
Diamond: Nataka barua yangu !
Wamama: Niisome!
Diamond: Nasema barua yangu!
Wamama: Niisomeeeee!!!
Diamond: ayeeeeeeeeyee!!
Kinanda: tiririri riririri
huo ulazima huenda ni wa huko kwenu gentleman,Katiba ya chama inasema kamalizia awamu yake ya pili akimwakilisha JPM... Wakati huu lazima kuwe na mchuano ndani ya chama!
Aache tabia za kupe