GE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu wa october 2025, agenda kuu ya taifa ni moja tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Oktoba Tunatiki βœ”οΈ na HAKUNA cha kutuzia!πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘!!
 
Kwahiyo mimi mrundi au sio
huenda umeghafilika kwa kukosa uzalendo tu gentleman,

hata hivyo bado unayo fursa na nafasi ya kuungana na waTanzania wengine wote kusukuma agenda hiyo muhimu sana kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Ajenda kuu ya Machawa, Thubutu! Fire jahazi linakwendazake chini
ungana na waTanzania wote kutika kupushi agenda kuu ya taifa kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria mwezi october gentleman
 
huenda umeghafilika kwa kukosa uzalendo tu gentleman,

hata hivyo bado unayo fursa na nafasi ya kuungana na waTanzania wengine wote kusukuma agenda hiyo muhimu sana kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Hivi mtu kutoka bara anaweza kuwa rais Zanzibar?
 
Hivi mtu kutoka bara anaweza kuwa rais Zanzibar?
katiba ya Zanzibar iko very clear kwenye hilo gentleman.

ila kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu 2025, agenda kuu ya Taifa ni kama nilivyoeleza hapo juu kwenye maelezo ya Msingi πŸ’πŸ’
 
Hiyo October utachagua k.......u...ndu lako tu.
 
Hiki kipindi kuelekea Oktoba kimeniongozea ujuzi wa kuchakata taarifa zinazoletwa hapa jukwaani...ili kupata kinachoendelea! Hata hivyo najua Moderators wako busy kweli kweli kipindi hiki!
 
Hiki kipindi kuelekea Oktoba kimeniongozea ujuzi wa kuchakata taarifa zinazoletwa hapa jukwaani...ili kupata kinachoendelea! Hata hivyo najua Moderators wako busy kweli kweli kipindi hiki!
hongera kutambua kua JF ni shule na darasa tosha la kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa.

hata hivyo,
agenda kuu ya Taifa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 ni Dr.Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…