Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Ukiangalia mwitikio wa watanzania kujiandikisha." Inachekesha sana.
Utaona wazi kwamba hata wajinga wameanza kujua kinacho endelea baada ya uchaguzi/uizi wa kura.
Ukimya wa Watanzania kutojihusisha na maandamano hautoi tafsiri kwamba watanzania niwajinga au hawana la kufanya hapana.
Badala yake ukimya wao unatoa tafsiri kwamba watanzania wa sasa wamekuwa kifikra, walio wengi wame elimika.
Kiasi kwamba sikuhizi Watanzania Wana weza kujua na kugundua kwamba maandamano haya ya CHADEMA haya toshi kuwafanya wapate hakizao wanazo zipigania.
Ambazo ni haki za uhuru wa kuzungumza, uhuru wa kuhoji, uhuru wa kuchagua, na uhuru wa kwenda popote kujitaftia kama raia wengine wa inchi nyingine waishivyo nakadharika.
Na baadhi wanajua kwamba maandamano Kama hayo yapo kwa ajili ya kuwa pima upepo watanzania/ kumjua yupi adui yupi si adui mbele ya CCM.
Na baadhi ya Watanzania wamefika mbali mpaka viongozi wa vyama vya upinzani wanawaona Kama ni CCM waliovaa ngozi ya upinzani nakazi yao kubwa ni kuwapoteza maboya Watanzania ili waendelee kuamini kwamba kuna upinzani.
Kisha wagawanyike kundi hili na lile/upinzani na tawala ili iwe rahisi kutawalika na ccm kwa mda usio na Kikomo.
Nimepita mitaani pia nimeona jinsi baadhi ya vijana wanavyo anza kuushtukia mchezo wa Usimba na Uyanga jinsi unavyo wafanya kuwa wapuuzi.
Imani yangu nikwamba hapo mbeleni litakuwa haliwezekani tena, naomba niwaarifu CCM kwamba;
- Watanzania wanajua kwamba mabox ya kupigia kura yametengenezwa na CCM.
- Walinzi wa vituo vya kupigia kura wanalipwa na CCM.
- Mawakala wa vituo vya kupigia kura wa pande zote wanapewa posho lakini mtoaji mkuu wa posho hizo ni CCM, iwe kwa siri au uwazi wanalijua hilo.
- Magari yanayosafirisha kura kutoka vituoni kwenda sehemu husika niya CCM, madreva wanaoendesha magari yaliyo beba hizo box za kura wanalipwa na CCM.
- Tume ya uchaguzi inafadhiliwa na CCM, vyombo vya habari vinavyotangaza matokeo vipo chini ya Sheria za CCM.
- Mwapishaji wa mshindi wa uchaguzi analipwa na CCM
Je, mtegemee wananchi wenye akili timamu kujitokeza kwa wingi kupiga kura au muwa tegemee hawa wachache wasio timamu ndio wajitokeze kupiga kura na muwatumie hao hao kama msingi wa kwamba mnafuata misingi ya democracy mbele ya uso wa dunia?
Tukifanya hivyo ni sawa tutashinda lakini je, hili kundi ambalo halitaki kujiandikisha wala kuandamana wala kuzungumza mitandaoni tunaishi nalo vipi humu ndani kama Watanzania baada ya kuudanganya ulimwengu kwamba uchaguzi ulikuwa wa haki?
Je, tutaendelea kutekana mpaka lini kwa kujificha udhaifu unaorekebishika? Tutaendelea kusingiziana kesi mpaka lini?
Nafikiri kuna haja ya kuzirekebisha baadhi ya Sheria za Uchaguzi zilizopitwa na wakati na kuziandaa mpya zinazoendana na wakati.
Kuna kipindi raia walichagua kati ya picha ya kimvuli na picha ya mtu kwenye uchaguzi na waliamini wanafanya uchaguzi😀😀 r.i.p Mwalimu Nyerere!
Lakini kwa sasa mkumbuke kwamba zamani siyo sasa, badilikeni kabla mambo hayajabadilika kabisa!
Pia soma: Kuelekea 2025 - LGE2024 - CCM itatoka Madarakani pale tu itakapochokwa na wananchi lakini siyo kwa kuzidiwa Mbinu za Siasa na Vyama vya Upinzani!