LGE2024 Kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa: CCM, raia wamewachoka badilikeni kabla mambo hayajaharibika

LGE2024 Kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa: CCM, raia wamewachoka badilikeni kabla mambo hayajaharibika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huenda idadi ya Wapiga kura mwaka huu ikawa ndogo maeneo mengi! Hapa itakuwa furaha kwa CCM.
 
Una maanisha CCM iondolewe madarakani na vyama vinavyo pewa ruzuku na ccm mkuu?

Bila Shaka tutakuwa tunaota mkuu

..hiyo ruzuku ambayo unadai Ccm inawagawia vyama vya upinzani inatokana na kodi zetu.

..sasa wananchi, walipa kodi, wapiga kura, tunapaswa kumnyima Ccm ruzuku kwa kutokuichagua.

..Na Ccm ni binadamu kama tulivyo mimi na wewe, hivyo tunatoshana nao. Wapiga kura tukiamua Ccm waondoke, wataondoka.
 
Back
Top Bottom