LGE2024 Kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa: CCM, raia wamewachoka badilikeni kabla mambo hayajaharibika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mkuu nyelele alikuwa mtu kichwa Sana Tanzania hakuna chama pinzani ila Kuna wapinzani

Kwahiyo hata chama kimoja wapo Kati ya hivyo ulivyo vitaja hapo juu kikishinda bado chama hicho Kita sema CCM ime shinda
 
Una maanisha CCM iondolewe madarakani na vyama vinavyo pewa ruzuku na ccm mkuu?

Bila Shaka tutakuwa tunaota mkuu
 
Kwasasa hakuna chama pinzani sahihi Cha kuiondoa ccm madarakani mkuu kwahiyo hakuna jinsi
Umejuaje hakuna?.Vilivyopo umevipima kwenye mizania gani hadi uje na hilo hitimisho?.Ungekua wakati wa mkoloni si ajabu ungekua kwenye like kundi la walikua wanasema hakuna wazawa wakuongoza nchi zaidi ya mkoloni kwahiyo mkoloni aendelee kutawala.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 1
Umejuaje hakuna?.Vilivyopo umevipima kwenye mizania gani hadi uje na hilo hitimisho?.Ungekua wakati wa mkoloni si ajabu ungekua kwenye like kundi la walikua wanasema hakuna wazawa wakuongoza nchi zaidi ya mkoloni kwahiyo mkoloni aendelee kutawala.
Mkuu hivi wasajiri wa vyama vyama vya siasa wanalipwa na Nani?
 
Babaako anajua kwamba huwa unaandika makamasi humu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…