Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Oct 12, 2024 #61 Ujinga ni kujifanya unaijua CHADEMA wakati hutaki kuwa CHADEMA.
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Oct 12, 2024 #62 Huenda idadi ya Wapiga kura mwaka huu ikawa ndogo maeneo mengi! Hapa itakuwa furaha kwa CCM.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Oct 13, 2024 #63 Killing machine said: Una maanisha CCM iondolewe madarakani na vyama vinavyo pewa ruzuku na ccm mkuu? Bila Shaka tutakuwa tunaota mkuu Click to expand... ..hiyo ruzuku ambayo unadai Ccm inawagawia vyama vya upinzani inatokana na kodi zetu. ..sasa wananchi, walipa kodi, wapiga kura, tunapaswa kumnyima Ccm ruzuku kwa kutokuichagua. ..Na Ccm ni binadamu kama tulivyo mimi na wewe, hivyo tunatoshana nao. Wapiga kura tukiamua Ccm waondoke, wataondoka.
Killing machine said: Una maanisha CCM iondolewe madarakani na vyama vinavyo pewa ruzuku na ccm mkuu? Bila Shaka tutakuwa tunaota mkuu Click to expand... ..hiyo ruzuku ambayo unadai Ccm inawagawia vyama vya upinzani inatokana na kodi zetu. ..sasa wananchi, walipa kodi, wapiga kura, tunapaswa kumnyima Ccm ruzuku kwa kutokuichagua. ..Na Ccm ni binadamu kama tulivyo mimi na wewe, hivyo tunatoshana nao. Wapiga kura tukiamua Ccm waondoke, wataondoka.