Kuelekea UEFA champions league final

Historia ipi itakayombebe Juve? Kama 1998 alifungwa kama historia hujirudia atafungwa tena,kama ni utemi kwenye Uefa hajafikisha hata nusu ya makombe ya R.Madrid na kama bingwa mtetezi ni R. Madrid.Historia ipi ya Juve itakayombeba?
 
Kati ya real Madrid na juve nani ambae ni kibonde kwa mwenzie!?
 
Mleta Mada Kuna Kitu Umesahau..
Udhaifu wa Madrid upo kwenye beki ya kushoto Yaani Marcelo..
Ukitaka uwafunge Madrid acha wakushambulie,Marcelo atapanda kisha kabeni vizuri alafu mpeni winger wenu anaecheza upande huo...
 
Madrid atapigwa goli za chap chap alafu wabishi wa turin, watacheza mchezo wao wakihuni naposema mchezo wa kihuni kama hua unafatilia na kuitazama juve basi utakua umenielewa murua.
Juve 2-0 madrid.
 
Madrid atapigwa goli za chap chap alafu wabishi wa turin, watacheza mchezo wao wakihuni naposema mchezo wa kihuni kama hua unafatilia na kuitazama juve basi utakua umenielewa murua.
Juve 2-0 madrid.
Achana na juve,Madrid anaweza piga timu yoyote on earth.Jumamos juve anarandikwa kama alivyotandikwa 1997 na borusia Dotmand na 1998 na R. Madrid na 2003 na ndugu yake Ac Milan
 
Jumamosi itakua siku mbaya sana kwa Zidane na mashabiki wa madrid,Madrid atapigwa goli la mapema sana.

Sioni mtu wa kupenya ukuta wa chuma wa Juventus chini ya beki katili Chielini.

Kule Mbele tunamwacha mtu mrefu Mandzukic,Ramos akileta mieleka yake atakula red mapema sana.

Kibibi Kizee cha turin twende kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…