Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iende wapi sasa.......Go madrid go go
Kama upo akilini mwangu vile, sijui Madrid watapata goli kwa njia gani kwa kweli.Jumamosi itakua siku mbaya sana kwa Zidane na mashabiki wa madrid,Madrid atapigwa goli la mapema sana.
Sioni mtu wa kupenya ukuta wa chuma wa Juventus chini ya beki katili Chielini.
Kule Mbele tunamwacha mtu mrefu Mandzukic,Ramos akileta mieleka yake atakula red mapema sana.
Kibibi Kizee cha turin twende kazi
Naona Mkuu unaandika tu goli 3 kirahisi rahisi, embu angalia stats za Juve msimu huu UEFA halafu urudi tena hapa kuedit post yako.Moja kati ya match ngumu sana fainali muhimu kwa Cr7 na Madrid kwa ujumla, Zidane atakuwa na kazi rahisi sana ya kupanga kikosi anawatu wengi sana wanaoweza fanya maajabu... Upande wa pili Juve hawana kingine wanachotaka zaidi ya ubingwa wa Uefa unaowasumbua kwa kipindi kirefu wakiwa na record ya kupoteza fainali Nne, Buffon anayinafasi ya mwisho ya kukamilisha record ya kuwa kipa bora zaidi ushindi wa Juve unaweza kumpatia kombe na ballon dor pia. All in all nawapa nafasi kubwa Real madrid kuchukua kombe... Final score R.Madrid 3 - Juventus 2. Hii sio ya kukosa.....
Tufanye hata Messi akaichezee Madrid hapo kesho, unadhani ataweza kufua dafu mbele ya akina Chielin, Bonuchi n.k?G. Bale na Carvajal watakuwa fiti kweli?
Ha ha ha ha ha ha ha eti mtu anadiriki kuwatishia Juventus kuwa viungo vya Madrid ni wazuri na wataisumbua Juve.Juventus ina beki na viungo wazuri sana wenye uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Shida ya juventus ipo kwenye kumalizia ndio tatizo hasa higuan amekuwa anapoteza nafasi nyingi sana za wazi. Real madrid wapo vizuri mbele na viungo ila alegri ni mzuri kwenye mbinu za kimchezo hivyo juventus nawapa nafasi ya kunyakua kombe
Jamani embu tuwe serious, Ronaldo anabebwa sana na ukakamavu wake wa mwili, ni mrefu na yupp strong kweli kweli akijua yupo kwenye nafasi ya kufunga.Afadhali carvajal karudi huwa anapiga cross murua ambazo cr7 anadukua kwa kichwa
Unajua Mkuu, mashabiki wa ronaldo wanamihemko saaaana. Kiukweli hakuna timu ya kuipasua Juventus msimu huu, HAKUNA.To be honesty, kama ikitokea Madrid akashinda basi itakuwa imetokea tu, lakini kiuhalisia msimu huu UEFA hakuna timu ya kupambana na Juve na wakatoka salama. Hakuna,
"Labda itokee tu" in Sheikh Kipoozeo voice.
Baelezee baelezeeHistoria ipi itakayombebe Juve? Kama 1998 alifungwa kama historia hujirudia atafungwa tena,kama ni utemi kwenye Uefa hajafikisha hata nusu ya makombe ya R.Madrid na kama bingwa mtetezi ni R. Madrid.Historia ipi ya Juve itakayombeba?