Kuelekea UEFA champions league final

Kuelekea UEFA champions league final

Naona Mkuu unaandika tu goli 3 kirahisi rahisi, embu angalia stats za Juve msimu huu UEFA halafu urudi tena hapa kuedit post yako.
Hiyo ndio final prediction yangu japo game 50/50
 
Achana na juve,Madrid anaweza piga timu yoyote on earth.Jumamos juve anarandikwa kama alivyotandikwa 1997 na borusia Dotmand na 1998 na R. Madrid na 2003 na ndugu yake Ac Milan

Wewe utakua ni mwanahistoria tu.
 
Madrid anakula mbili kavu.Mandzukic uhakika goli moja ila sijui dybala alves na higuain nani atapiga goli jingine.hutaki unaacha.msinitafute baada ya mechi.
 
C Madrid tunaingia kama underdog Maana kila m2 karata yake kampa juve ila sisi 2kiona kombe najua mnajua shughuli y2 so 2kutanae baada ya game ###madridista
 
Back
Top Bottom