Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Anayo - na kaandika mpaka pepa!
Iko wapi hiyo pepa, unayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayo - na kaandika mpaka pepa!
Companero,
Mkuu mimi niondoe katika fungu la kufikiria kwamba hatuna uwezo huo. Naamini uwezo tunao na sababu tunazo isipokuwa NIA hatuna na ndicho kinachotufanya NDIVYO TULIVYO...Nadhani umeona somo kubwa la mafanikio nchi za ulaya wakisema don't let anyone discourage U on success..U can, anyone can just believe in urself that U can..
Sasa hapa kwa MASKINI wa hali na mali (Fukara na Mjinga) fikra hizii hazipo akilini wala hawezi kuona uwezekano (tumesha kata tamaaa) ndipo tuliposimama sisi..
Mtoto wa Sultan wa Saudia alikuja ambiwa kwamba Tanzania kuna watu hufuga majini (Gene) akaja nchini na kutoa Offer ya millioni moja akipewa jini moja tu.. Mkuu wangu jamaa alipelekwa bagamoyo, Sumbawanga, Msasani, Songea U name it sehemu zote hizi alikutana na waganga wa kila aina lakini hakuna hata mmoja aliweza kumpa hilo Jini...This is a true story mkuu wangu... Jamaa akarudi kwao mikono mitupu..
My point is hata kama tuna uwezo wa kufanya Ubunifu au wowote ule kama kufuga majini au kuruka na Ungo hatuwezi kutumia Ubunifu huo kwa maendeleo yetu isipokuwa ktk Uhasidi..Kuua watu wengine, kutupa uganga bungeni, kuwaondoa kina Kolimba na kadhalika....
Hivyo, NDIVYO TULIVYO!
Mkuu kuna tofauti kati ya uchawi/wanga (witchcraft) na uganga wa 'kienyeji/jadi' (traditional healing). Mimi naongelea huo wa pili ambao uko advanced sana hapa kwetu ila wasomi tunaudharua ilhali watu wa patenting na intellectual property rights kutoka ughaibuni wanauibia na kwenda kuu-repackage huko kwao kisha watatuletea sisi tuununue na kutuambia ni wao ilhali unapatikana bwelelele kwa wote katika jamii yetu!
Ipo kwenye maabara yake, njoo nikupeleke!
Nyani, really?
Wajinga ni ninyi wasomi kwenye kasumba ya kikoloni mnaopiga vita jamii/wanajamii wenu kwa kuwawekea vikwazo wasi-'renaissance'!
Na wewe na wenzako kukataa kwenu ni moja ya jitihada zenu za kujikakamua ili ionekane yanayosemwa kuhusu Miafrika kutochangia chochote ktk civilisation siyo ya kweli.
Well, kama walimstukia anatunga ulitaka wampe tu hiyo shahada? Halafu yeye alithibitisha vipi? Kwani alikuwepo kubeba zege? Hivi mtu unathibishaje mambo ambayo hata hujui kwa uhakika yalitokea lini? Au alitumia carbon-14 dating?
Alithibitishaje? alikuwepo?
Nyani, Mweusi/Mwafrika mwingine huyu wa dizaini za Diop aliyefanyiwa hiana kwenye PhD yake huko Ughaibuni:
Chinweizu is a Nigerian critic, poet, journalist and pan-African Philosopher. Though he has identified himself and is known simply as Chinweizu, he was born Chinweizu Ibekwe in Isuikwuato in the part of Eastern Region that is known today as Abia State, and was educated at Government College, Afikpo. He later attended the Massachusetts Institute of Technology (MIT) for college education. While studying in America, during the civil rights era, Chinweizu became influenced by the philosophy of a black arts movement. He later enrolled for a Ph.D. at the State University of New York (SUNY), Buffalo[1], under the supervision of political scientist [Claude E. Welch, Jr.[2] Chinweizu apparently had a disagreement with his dissertation committee and walked away with his manuscript, which he got published as The West and the Rest of Us: White Predators, Black Slavers, and the African Elite by the powerhouse New York based Random House in 1975. He took the book to SUNY, Buffalo, where he demanded, and was promptly awarded, his Ph.D. in 1976, one year after he had published the dissertation. Thus, the publication settled his disagreement with his advisors in his favor. The book was highly acclaimed and cited within the field of radical political economy of the 1970s and 1980s.
Source: Chinweizu Ibekwe - Wikipedia, the free encyclopedia
Kama kweli alifanyiwa mbaya huko ughaibuni swali linalojia alienda kutafuta nini huko? Kwa nini asingebaki kwao akasomea hiyo PhD....
Mkuu wangu, unajua siwezi ubishi unapofikia hatua kama hii kwa sababu hiki ni kitu nakifahamu na sii kwa kusimuliwa...Sasa nimefanya kama ulivyosema na labda nachoweza kusema kilichotokea kinahusiana na habari hii hapa:-Mkuu Mkandara hizi lugha za watu labda ni mimi,ila tueleweshane tu na nikielewa nitaweza kushukuru. So hapo chini mkuu unaweza kuona namba kama ulitaka waseme "Wangapi" Pia angalia chati niliyioposti na links fuatilia,tofauti yetu ilipo ni kwamba nakubaliana kabisa na stori yako kuwa madakatari hao walishindwa kutambua kwamna jamaa alikuwa na malaria,ila sik kwasababu walikuwa hawana uwezo ama kwasababu labda hawana utaalam huo,no ni kwamba vyanzo vyote vyenye kuweza ku contribute ama ku facilitate mazingira ya malaria vilikuwa effectively controlled,means it has been eradicated
Jmushi1,
Mkuu wangu, unajua siwezi ubishi unapofikia hatua kama hii kwa sababu hiki ni kitu nakifahamu na sii kwa kusimuliwa...Sasa nimefanya kama ulivyosema na labda nachoweza kusema kilichotokea kinahusiana na habari hii hapa:-
Early and prompt diagnosis of malaria requires that physicians obtain a travel history from every febrile patient. Malaria should be included in the differential diagnosis of every febrile patient who has traveled to a malarious area. If malaria is suspected, a Giemsa-stained film of the patient's peripheral blood should be examined for parasites as soon as possible. Thick and thin blood films must be prepared correctly because diagnostic accuracy depends on blood-film quality and examination of the film by experienced laboratory personnel. Certain reference laboratories and health departments have the capacity to perform PCR diagnosis of malaria, although PCR diagnosis generally is reserved for cases for which blood-film diagnosis of malaria or species determination is inadequate...
Inawezekana hospital alolazwa mshikaji haikuwa ktk fungu hilo, au hawakuwa na madaktari wa maradhi ya tropical (kwa sababu aliletwa specialist toka nje ya hospital hiyo)..
Pamoja na yote haya madaktari wa hapo wasingeweza kuelewa kitu kwani PCR diagnosis ndio pekee inakupa hakika ya maradhi hayo..na kama ujuavyo huku hawatibu hadi wajue ugonjwa na sii kwa kukisia kama Bongo...narudia kusema hivi, aliyekuja mwandikia dawa mshikaji alikuwa daktari wa maradhi ya tropical..
Kama wale madaktari wa hapo walijua kinachoendelea kwa nini wasimpe dawa?
Nimemaliza mkuu, Tuendelee kukata issue!..