Kuelekea Ujamaa Mamboleo - Toward Neo-Socialism


Mkuu kuna tofauti kati ya uchawi/wanga (witchcraft) na uganga wa 'kienyeji/jadi' (traditional healing). Mimi naongelea huo wa pili ambao uko advanced sana hapa kwetu ila wasomi tunaudharua ilhali watu wa patenting na intellectual property rights kutoka ughaibuni wanauibia na kwenda kuu-repackage huko kwao kisha watatuletea sisi tuununue na kutuambia ni wao ilhali unapatikana bwelelele kwa wote katika jamii yetu!
 

Kama unachosema ni kweli sasa nani mjinga hapo?
 

Walithibitisha Kisayansi. Chuo cha Kifaransa kikawa hakina ujanja bali kuukubali ukweli wa Kisayansi alioutoa Diop. Ni ubaguzi wa rangi tu ulisababisha wasikubali mwanzoni. Hata ule ustaarabu wa wa-Inca kule Marekani Kusini kuna watu walidai kuwa sio wao kama walivyodai kuwa ule wa Zimbabwe Kuu sio wa Waafrika. Yaani ni kama vile wakikubali basi watashindwa kututawala. Hebu cheki hiana hii waliyomfanyia Diop na cheki pia hiyo methodolojia yake aliyoivumbua 'for the benefit of humanity':

In 1951, Diop submitted a [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"]Ph.D.[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"]thesis[/ame] at the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"]University of Paris[/ame] in which he argued that [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"]ancient Egypt[/ame] had been a Black African culture. The thesis was rejected. Over the next nine years, Diop reworked the thesis, adding stronger evidentiary support. In 1960, he succeeded in the defense of his thesis and was awarded the Ph.D. degree.

In 1955, the thesis was published in the popular press as a book titled Nations nègres et culture (Negro Nations and Culture). It made him one of the most controversial historians of his time.[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"][3][/ame]

After 1960, Diop went back to Senegal and continued writing. The [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"]University of Dakar[/ame] established a [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"]radiocarbon[/ame] laboratory to aid in research of which Diop was named chairman. (After his death the university was named in his honor: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"]Cheikh Anta Diop University[/ame] of Dakar.) He had said, "In practice it is possible to determine directly the skin color and, hence, the ethnic affiliations of the ancient Egyptians by microscopic analysis in the laboratory; I doubt if the sagacity of the researchers who have studied the question has overlooked the possibility."[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"][4][/ame]

Diop published his technique and methodology for a dosage test in scholarly journals. Diop used this technique to determine the melanin content of the Egyptian mummies. Forensic investigators later adopted this technique to determine the "racial identity" of badly burnt accident victims.[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"][5][/ame]

Source: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop"]Cheikh Anta Diop - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
 
Nyani, Mweusi/Mwafrika mwingine huyu wa dizaini za Diop aliyefanyiwa hiana kwenye PhD yake huko Ughaibuni:

Chinweizu is a Nigerian critic, poet, journalist and pan-African Philosopher. Though he has identified himself and is known simply as Chinweizu, he was born Chinweizu Ibekwe in Isuikwuato in the part of Eastern Region that is known today as Abia State, and was educated at Government College, Afikpo. He later attended the Massachusetts Institute of Technology (MIT) for college education. While studying in America, during the civil rights era, Chinweizu became influenced by the philosophy of a black arts movement. He later enrolled for a Ph.D. at the State University of New York (SUNY), Buffalo[1], under the supervision of political scientist [Claude E. Welch, Jr.[2] Chinweizu apparently had a disagreement with his dissertation committee and walked away with his manuscript, which he got published as The West and the Rest of Us: White Predators, Black Slavers, and the African Elite by the powerhouse New York based Random House in 1975. He took the book to SUNY, Buffalo, where he demanded, and was promptly awarded, his Ph.D. in 1976, one year after he had published the dissertation. Thus, the publication settled his disagreement with his advisors in his favor. The book was highly acclaimed and cited within the field of radical political economy of the 1970s and 1980s.

Source: [ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Chinweizu_Ibekwe]Chinweizu Ibekwe - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
 

Kama kweli alifanyiwa mbaya huko ughaibuni swali linalojia alienda kutafuta nini huko? Kwa nini asingebaki kwao akasomea hiyo PhD....
 
Kama kweli alifanyiwa mbaya huko ughaibuni swali linalojia alienda kutafuta nini huko? Kwa nini asingebaki kwao akasomea hiyo PhD....

si jibu nimeshalitoa hapo juu - wasomi wenye kasumba ya kikoloni mlibania/mnabania fikra za wasomi asilia na wana-renaissance!
 
Jmushi1,

Mkuu wangu, unajua siwezi ubishi unapofikia hatua kama hii kwa sababu hiki ni kitu nakifahamu na sii kwa kusimuliwa...Sasa nimefanya kama ulivyosema na labda nachoweza kusema kilichotokea kinahusiana na habari hii hapa:-

Early and prompt diagnosis of malaria requires that physicians obtain a travel history from every febrile patient. Malaria should be included in the differential diagnosis of every febrile patient who has traveled to a malarious area. If malaria is suspected, a Giemsa-stained film of the patient's peripheral blood should be examined for parasites as soon as possible. Thick and thin blood films must be prepared correctly because diagnostic accuracy depends on blood-film quality and examination of the film by experienced laboratory personnel. Certain reference laboratories and health departments have the capacity to perform PCR diagnosis of malaria, although PCR diagnosis generally is reserved for cases for which blood-film diagnosis of malaria or species determination is inadequate...

Inawezekana hospital alolazwa mshikaji haikuwa ktk fungu hilo, au hawakuwa na madaktari wa maradhi ya tropical (kwa sababu aliletwa specialist toka nje ya hospital hiyo)..
Pamoja na yote haya madaktari wa hapo wasingeweza kuelewa kitu kwani PCR diagnosis ndio pekee inakupa hakika ya maradhi hayo..na kama ujuavyo huku hawatibu hadi wajue ugonjwa na sii kwa kukisia kama Bongo...narudia kusema hivi, aliyekuja mwandikia dawa mshikaji alikuwa daktari wa maradhi ya tropical..
Kama wale madaktari wa hapo walijua kinachoendelea kwa nini wasimpe dawa?
Nimemaliza mkuu, Tuendelee kukata issue!..
 
Last edited:

Mkandara:

Kwa kuongezea tu. Virus wengi ambao wamekubuu na madawa wanakuwa na sub-type zake.

Subtype ya virus wa Malaria nchini Philipine inaweza kuwa tofauti na substype ya East Africa.

Hivyo kwa Marekani haitoshi tu mtu kugundulika kuwa ana Malaria bali ni lazima subtype pia waipate. Kwa sababu effictive ya dawa za Malaria kwa sasa ni kutibu subtype.

Kwa Tanzania, kwa sababu watu wanaishi pamoja hivyo inachukuliwa kuwa subtype ya Malaria kwa eneo letu inafanana. Hivyo dawa tunazopewa zinafafana.

Lakini mtu akiwa amepata Malaria Philipine na baadaye akaja Tanzania, dawa zinatotumika kwetu au Mwarobaini zanaweza kutofanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…