Kuelekea Wydad vs Simba iyo ijumaa hebu tupia utabili wako

Wydad 1-2 Simba
 
Hii game inaenda kuisha 1-1 ,Simba anapenya kirahis mno.
Sijui wale vyura mtaongea Nini.
Na mnyama akipita hapa Kwa wanaume wa shoka na bingwa mtetez wa club bingwa ivi mtakua na kipi Cha kujilinganisha na Simba
Najua ajenda yenu itabak kwenye ligi kuu km kichaka Cha kujifichia.
Mpira una mengi sana .
 
Kama mpaka half time mnyama hajafa basi kwa leo hatakufa.
Kocha wao mzuri ameibadilisha sana timu kiuchezaji, wanaoiponda wanaoiponda kuishabiki tu kutokana midomo yao Makolo isiyo na breki.
 
Comment to recall
 
Kama mpaka half time mnyama hajafa basi kwa leo hatakufa.
Kocha wao mzuri ameibadilisha sana timu kiuchezaji, wanaoiponda wanaoiponda kuishabiki tu kutokana midomo yao Makolo isiyo na breki.
Uko sahihi, timu imebadilika sana sin mashaka na uchezaji wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…