Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Wydad 1-2 SimbaHebu tuweke unafiki pembeni, hii game Simba atachapika goli za kutosha si chini ya goli 6+
Wanasimba wote popote walipo wanatetemeka sana maana kila wakiangalia rekodi ya Wydad nyumbani kwao pale Stade Mohamed V inawatisha vibaya
Weka utabiri wako hapa ili tuwasaidie ndugu zetu wale wakubeti wale pesa siku iyo.
Mimi Naanza na utabiri huu hapa chini
(1) Wydad 5-0 simba
(2) Wydad 7-1 simba
(3) Wydad 9-1 simbaView attachment 2599574