Kuendelea kulalamika kwenye social media kuhusu bandari kutawashitua watawala?

Kuendelea kulalamika kwenye social media kuhusu bandari kutawashitua watawala?

Njegele

Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
61
Reaction score
100
Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli?

Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
 
HELL NO !! And under such circumstances, expect no changes but rather an insecure and a future of uncertainity (of which the worst of things are on your descendants !! )
 
Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli?

Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
Tulia anajivunia maendeleo na utajiri mkubwa alioupata Ndani ya miaka nane tuu.
Anawaza kama angekua anafundusha basi ingemchukua Karne Nzima kuupata utajiri alionao.

Bandari kwake Haina Umuhimu Wowote mana ilikuwepo wakati alipokuwa na maisha ya kawaida
Cha Muhimu Kwa Tulia ni Kiti cha uspika na Ubunge wake.

Watanzania tuamke Sasa.
Hawa watu hawapo Kwa ajili ya Kesho ya Taifa hili .

Watoto WETU wamereheshwa kwenye utumwa pamoja na Kutumia fedha nyingi kuwasomesha lakini tumewapa utumwa Mkubwa sana uwe ndio urithi wao.

Basi kama wanabinafsisha Bandari waruhusu wazawa kuanzisha Bandari zao Binafsi Ili tushindane na Mkoloni aliyepewa Bandari na Akini Tulia na Serikali yake.

Si wameruhusu soko huria kwenye Bandari!? Kwa nini apewe mfalme Wa Dubai na Sio Mfame Kimweri au Mangungo akaendesha Bandari ya Pangani ashindane na mkoloni?

Kipi kingefaa kubinafsishwa Tanesco au Bandari au TRA. ? Au polisi ,Magereza na Hata Jeshi? Au tunaimani na Hawa na Sio wale? Na je,usalama Wa nchi Sio kuanzia Bandari kunakoweza kupitishwa visu kama vile vya Ngunguri na Ngangari !?.
 
Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli?

Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
Nilalamikie Kwa lipi hasa? Yaani nilalamike Kwa Serikali kukodisha Huduma za Bandari ambazo zitaongeza mapato niwe nataka turudie kule kule kwenye mapato kiduchu na urasimu au?

Huu ujinga kafanye wewe.
 
Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli?

Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
Ni sehemu ya watu kuonesha hisia maumivu na kutoridhishwa kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom