Kwani historia inasomwa kwa manufaa gani? Ukijua umuhimu wa historia nadhani utakuwa umeshapata jibu la swali lako.Point hapa inaleta tija gani kwa kufanya hivyo au ni hisia tu hasira na chuki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani historia inasomwa kwa manufaa gani? Ukijua umuhimu wa historia nadhani utakuwa umeshapata jibu la swali lako.Point hapa inaleta tija gani kwa kufanya hivyo au ni hisia tu hasira na chuki?
Watu wanakosomea kitabu chake alichokiandika kwa hiari na utashi wake huru kabisa! Kinachowakera watetezi wa Magufuli ni kutokana na kitabu hicho kujaa Madudu na maovu mengi ya kutisha ambayo msingependa yawekwe hadharani na kama hivyo ndiyo basi nanyi masukumagang mlikosea sana kumruhusu kuliandika kitabu hicho cha maovu yaliyomshangaza mpaka Lucifer mwenyewe!Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.
Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.
Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.
Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.
Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.
Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.
Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.
Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.
Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.
Acha nipumzike SASA.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Watatajwa tu kama walitenda ndiyo sivyo!Anatajwa na Wajerumani? Au kina Nani?
Kutaja taja Wafu kila mara ni dalili ya kuchanganyikiwa.
Unataja Watu ambao hawana chochote chakufanya
Yeye mwenyewe si alikuwa anasema tutamkumbuka? Sasa tukimkumbuka dikteta uchwara Kuna shida gani?Wapo wabaya Waliohai,
Wapo Wema Waliohai.
Hao ndio waku-deal nao kuliko ku-deal na Wafu
Hebu jifunze kunyamaza, Hujui wala hufeel pain ambazo watu wamezipata kutoka Kwa huyo ibilisi unayemtetea, labda angeuwawa baba yako mzazi na mama yako mzazi ndio ungejuwa uchungu wake.
Huyo hata ipite miaka 50 ni lazima atashtakiwa tu ili haki itendeke haijarishi yupo kaburini cha msingi ni ile hukumu itakayotolewa ili ikae kwenye kumbukumbu.
Anatajwa na Wajerumani? Au kina Nani?
Kutaja taja Wafu kila mara ni dalili ya kuchanganyikiwa.
Unataja Watu ambao hawana chochote chakufanya
Mkuu ukiwa hai utasifiwa ukifa utasifiwa zaidi na sikukadhaa baada ya mazishi yako hasa msiba ukiishaAnaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.
Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.
Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.
Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.
Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.
Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.
Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.
Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.
Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.
Acha nipumzike SASA.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Wanafikiri kwa kufanya hivyo kutafuta ujinga na upuuzi unaofanywa Sasa.Anaandika, Robert Heriel

Wewe mwenyewe umeshamtaja Magufuli na wewe basi umechanganyikiwa vibaya.Anatajwa na Wajerumani? Au kina Nani?
Kutaja taja Wafu kila mara ni dalili ya kuchanganyikiwa.
Unataja Watu ambao hawana chochote chakufanya
Hata haya yananihusu pia kama yasingenihusu basi hayo malalamiko wangekuwa wanalalamika majumbani kwao kwa wake na waume zao na mue nisingeyasikia. Lakini anayezungumziwa hapa alikuwa kiongozi wa nchi ya Tanzania na mie ni mtanzania.
Mie nina rafiki yangu nae anakiri kuguswa na uongozi wa Magufuli ila hakutaka kuniambia aliguswa vp ila watu kama hawa ndio kutwa kumnanga Magufuli kumbe ni hasira zake binafsi na si kwamba anachukia maovu.
Kwa akili yako na uwezo wako wa kufikiri; ukifanya comparison analysis kwanini ikiwa Kuna awamu zilizopita na zilifanya maovu kwanini hayati alaumiwe Sana kuliko watangulizi wake!Sasa kwa aina tunayotumia kumzungumzia Magufuli ni njia ya kujisahisha au ni kuonyesha hasira na chuki zetu kwa Magufuli? Mtu unamwambia mbona uovu fulani ulitendeka pia awamu fulani ila anakujibu hayo eleza wewe mimi namzungumzia Magufuli na kumwita shetani. Hivyo ndio kujisahihisha?
Nyerere alituambia mazuri yake tuyachukue na ya kijinga tuyaache, ila sisi tumeweka mbele hisia za chuki tunapomzungumzia Magufuli basi kutwa ni kusema yule shetani, sijui anachomwa moto huko sijui alaaniwe.
Msamehe Sana anadhani akimtaja kwa mazuri anakua sio mfu!! Akili za Hawa watu wanazijua wenyeweWewe mwenyewe umeshamtaja Magufuli na wewe basi umechanganyikiwa vibaya.
Mkumbushe kuwa kule South America Kuna drug dealers mtaani kwao wanaonekana MashujaaNimekuambia hakuna adui wa wote
Hata jambazi anaweza kuwa kaksi na katili wa kutisha lakini hawezi kukosa rafiki au watu wanao msapoti
Povu la nini? Kama una mazuri ya yule Ziraili mtoa roho za watu yaweke, ila usizuie watu kuandika uovu wa Magufuli.Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.
Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.
Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.
Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.
Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.
Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.
Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.
Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.
Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.
Acha nipumzike SASA.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Basi katika kusifia wasifie walio hai Mana wafu hawawezi kupokea sifa wameshakufa.Mimi simtetei Magufuli, Ila nashangaa wanaomtaja taja ilhali wapo wabaya wengi Waliohai.
Kwenye vita Watu hupigana na wanajeshi Waliohai na sio kupigana na maiti zilizodondoka chini
Kwani alikuwa na zuri???Ila kumtaja Idd Amin kwa mabaya au Hitler?
Hilo la kuhitaji mwanasaikolojia ni suala la kweli kabisa si utani, hawa jamaa hawapo sawa.Naona wanapunguza hasira tu wala hakubadilishi chochote, naona wanajistess maana wakiona mtu kaandika mazuri ya Magufuli wanajaa gesi kuandika aya ndefu ndefu, wanahitaji mwanasaikolojia ujue hawajui hawako OK.
Unapoteza muda kulitetea Hilo jangiliAnaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.
Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.
Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.
Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.
Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.
Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.
Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.
Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.
Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.
Acha nipumzike SASA.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Mkuu hii barua yote unarudia kueleza mabaya ya Magufuli, huu uzi unahoji kwamba huku kulala na kuamka kutwa kuzungumzia mabaya ya Magufuli inatuletea faida? Toka Magufuli afariki hadi leo karibu miaka miwili bado tu tunaeleza mabaya ya Magufuli kama bado yupo hai, shabaha ya kufanya hivi ni nini au ndio kupunguza tu hasira?Kwa akili yako na uwezo wako wa kufikiri; ukifanya comparison analysis kwanini ikiwa Kuna awamu zilizopita na zilifanya maovu kwanini hayati alaumiwe Sana kuliko watangulizi wake!
Ukweli Ni kwamba alifika the highest degree of impunity Katika Mila na desturi za maisha ya watanzania. He was everything.
Umeandika vyema kwamba so vyema watu kumwit shetani yule. Hata Mimi siungi mkono kumuita binadamu shetani. Lakini unakumbuka kauli yake mwenyewe kwa kinywa chake mwenyewe kwamba anatamani matajiri waishi Kama mashetani? Na kweli matajiri wakaanza kukiona Cha maoto ikiwemo utitiri wa kesi zilizoitwa za uhujumu uchumi? Hakuwahi hata siku moja kujitenga na matendo maovu yakiyokua yakitendeka isipokua alitoa zawadi ya vyeo na madaraka kwa waliyofanya matendo hayo maovu.
Unakumbuka as watendaji waliokufa chini yake walipomfananisha na Mungu na Wala hakuwahi kukataa isipokua alisema anatamani kuwa siku Moja akifa aende mbinguni kuongoza malaika hata sio wateule wa Mungu? Huoni Kama hiyo Ni kufuru?
Kuna mkuu mmoja wa mkoa alisema bila aibu mbele za umma kwamba Mungu amshukuru Magufuli kwa kuiondoa corona! Magufuli hakuwahi kutoka hadharani kukataa Hilo Wala kuonesha kutokufananishwa na Mungu! Maandiko yanatuambia Mungu alimwadhibu Lucifer kwa sababu alitaka kusujudiwa Kama Mungu(Mungu Ana wivu na Hilo amelionesha katika maandiko)
Tumeshakataa kabisa kumhusisha Magufuli na kushambuliwa kwa TAL. Lakini kiuhalisia Rais ndio Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama. TAL aliposhambuliwa wanachama wake waliojitokeza kumuombea walikutana na mkono wa polisi mpaka makanisani. Hakuwahi kujitenga na matendo hayo. Ama hata tu kwa kuongea hadharani. (Alifurahia)
Akiweka Jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya kimara kibaha aliviambia vyombo vya habari "you are free but not to that extent" akalenga specifically Mwananchi Newspaper muda mfupi tu Azory Gwanda akapotea na maelezo ya mke wake Ni watu wa serikali! Utawala wake ulikaa kimya kimya na hakuwahi kujitenga na matendo hayo. Mpaka waziri bwana Kabudi aliponukuliwa alisema kuwa "amekufa"
Alitumia Jeshi kudhulumu Korosho za wamakonde; kila walipodai haki yao kwa mujibu wa Sheria alijitokeza hadharani mwenyewe na kumwambia PM iwapo wataandamana ataanza na shangazi zake kuwapiga virungu (udhalilishaji na ubabe)
Sote tunajua kwamba Tanzania Ni nchi ya vyama vingi inayoheshimu utawala wa Sheria na demokrasia. Alitamka wazi wazi kwamba siwezi kukupa mshahara nyumba na gari halafu umtangaze mpinzani ameshinda uchaguzi! Kauli yake ilikua nzito na mwangwi wake ulionekana kwenye chaguzi mbili mfululizo (mitaa na uchaguzi mkuu) Kuna watu wanaachiliwa huru hivi Sasa na Mahakama za Rufani kwa kubambikiwa kesi za mauaji. Hakuwahi kujitenga na Mambo haya hata siku moja isipokuwa aliwazawadia vyeo kina Mahera na wenzake! Alienda mbele kuwafananisha binadamu wenzie na magunzi! Kwamba ukichanganya betri na magunzi haviwaki na kutamka wazi kwamba msipochagua CCM sileti maendeleo!
Bomoa bomoa ya kimara hakuna atajayeishahu shida Ni kwamba alipokua mwanza alitamka hadharani kuwa wale was mwanza walimpigia kura kwahiyo wasibomolewe huo Ni ubaguzi wa wazi wazi usiotilia Shaka.
Mambo Ni mengi Sana ukiyaandika hayaishi Wala kitabu hakitatosha!
Alikua na mazuri yake lakini maovu yali-outshine mazuri yake! Kwakua aliwaongoza watu waacheni waseme ili viongozi wajao wajifunze kuwa mabaya au mema ya mtu huambatana nae. Kifo hakikupi Kinga ya kujadiliwa kabisa.
Adious
Shabaha ya kufanya hivi Ni:Mkuu hii barua yote unarudia kueleza mabaya ya Magufuli, huu uzi unahoji kwamba huku kulala na kuamka kutwa kuzungumzia mabaya ya Magufuli inatuletea faida? Toka Magufuli afariki hadi leo karibu miaka miwili bado tu tunaeleza mabaya ya Magufuli kama bado yupo hai, shabaha ya kufanya hivi ni nini au ndio kupunguza tu hasira?