Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

Mwalimu Nyerere alisema TUJISAHIHISHE yamkini hayo mabaya ya sasa Yana msinginwake kwa yaliyopita sio we have to identify the mistakes before we correct them.
Sasa kwa aina tunayotumia kumzungumzia Magufuli ni njia ya kujisahisha au ni kuonyesha hasira na chuki zetu kwa Magufuli? Mtu unamwambia mbona uovu fulani ulitendeka pia awamu fulani ila anakujibu hayo eleza wewe mimi namzungumzia Magufuli na kumwita shetani. Hivyo ndio kujisahihisha?

Nyerere alituambia mazuri yake tuyachukue na ya kijinga tuyaache, ila sisi tumeweka mbele hisia za chuki tunapomzungumzia Magufuli basi kutwa ni kusema yule shetani, sijui anachomwa moto huko sijui alaaniwe.
 
Mimi simtetei Magufuli, Ila nashangaa wanaomtaja taja ilhali wapo wabaya wengi Waliohai.

Kwenye vita Watu hupigana na wanajeshi Waliohai na sio kupigana na maiti zilizodondoka chini
Ukitumia common senses utaona kwa nini anasemwa zaidi akiwa marehemu. Ungewezaje kumsema akiwa hai? Hawa wanaotajwa kutoweka walijaribu kumsema akiwa hai, wako wapi.

Huyo hapo Lissu ni mlemavu, alijaribu kumsema akiwa hai. Samia anarekebishaje baadhi ya mambo leo wakati alikuwa mshauri wake? Maana yake nini.
Huu ndio muda muafaka kwao. Halafu Magu hasemwi kwa mambo ya nyumbani kwake, alikuwa kiongozi wa nchi. Ametengeneza historia ya utawala. Mmeanza lini kuzuia historia?
 
Siasa ni kugusa hisia. Ukiwa huna hoja na unatumika lazima ubaki kwenye kucheza na hisia za watu. Tanzania haina upinzani,ina wasanii tu wanaocheza ngoma ya chama tawala. Kwa kumsema sana Hayati Rais Magufuli ambaye hakuwa mtakatifu kama ambavyo watawala wote sio,yupo ambaye wanamkwepesha na mijadala na hawamsemi sana. Fungua macho ujue wanavyotumika. Halafu tulia,ucheke.
Wewe Chawa wa Mwendazake, Akili yako ilizikwa na Magufuli, kwamba Tanzania hakuna Upinzani Magufuli angepora uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwaengua wagombea wote wa Vyama vya Upinzani? Kwamba Tanzania hakuna Upinzani Magufuli angewafunga Jera vifungovya hadi vya Maisha viongozi wa CHADEMA zaidi ya 400 kwa Kesi za kupakaziwa? Kwamba Tanzania hakuna Upinzani Magufuli angepora uchaguzi Mkuu wa 2020? Akili mbovu namna hii utaikuta kwa Chawa wa Mwendazake tu!
 
Nyerere alituambia mazuri yake tuyachukue na ya kijinga tuyaache, ila sisi tumeweka mbele hisia za chuki tunapomzungumzia Magufuli basi kutwa ni kusema yule shetani, sijui anachomwa moto huko sijui alaaniwe.
Hapa tunamjadili Magu au Nyerere? Hiyo ni kauli ya Mwalimu akiomba msamaha. Lini huyo Magu aliomba msamaha?

Halafu huo wosia wa Mwalimu ni katika utendaji sio kukataza watu kumsema. Alitoa tahadhari kama kuna baya basi lisiigwe. Na ndicho tunachotoa tahadhali hapa ujinga wa Magufuli usifanywe na watawala waliopo na wajao.

Kwa hiyo tunatembea kwenye wosia wa baba
 
Kwa hiyo yeye ndio alie piga risasi,yeye ndio aliewateka hao ulio waoanisha hapo juu,kwani wangapi walitekwa na wakapatikana,haya ikatokea taarifa kwamba hao waliotekwa yaweza ikawa ni wao kwa wao waliofanyiana unyama huu,au huyo aliepigwa risasi kapigwa na watu wake wa karibu kutokana na maslahi baina yao wao kwa wao,jee familia ngapi zenyewe kwa zenyewe zinauana kwa njia mbali mbali sembuse kwenye vyama?

Haya wangapi wanafaidika na barabara ya morogoro road jee inawasaidia wagonjwa wangapi kuokolewa maisha yao kutokana na kuwa na miundo mbinu rafiki,jee hao wakazi waliokuwa wanaishi maeneo ya kimara tokea kuundwa kwa Tanzania hawakuwahi kulipwa stahiki zao kabla,jee wana uhakika walipo kuja nunua maeneo hao walio wauzia wao hawakulipwa kabla?
Kwa hiyo walisubiri Nduli Jiwe awe Madarakani ndo waanze kutekana na kuuana kwa sababu Nduli Jiwe hawezi kuagiza vyombo vya uchunguzi kuwachunguza wanaotekana na kuuana kwenye Utawala wake?
 
Kwahiyo na Magufuli anapendwa na watu waliyofaidika na utawala wake?
Nimekuambia hakuna adui wa wote

Hata jambazi anaweza kuwa kaksi na katili wa kutisha lakini hawezi kukosa rafiki au watu wanao msapoti
 
Nimekuambia hakuna adui wa wote

Hata jambazi anaweza kuwa kaksi na katili wa kutisha lakini hawezi kukosa rafiki au watu wanao msapoti
Na sio kila adui anapatikana kwa ubaya wako unaweza ukapata maadui kwa mema yako
 
Niko tayari kuchangia gharama za kitabu Kwa muandishi ambaye yuko tayari kuandika kitabu cha Dikteta uchwara Magufuli.

Ni jambo la muhimu sana kuandika kitabu na kutunza hii kumbukumbu muhimu Kwa Taifa.

Na lilivyokuwa linawaza kutesa watu tu muda wote halikujuwa lilipaswa kuandika kitabu chake yeye mwenyewe, Sasa sisi ndio tutaandika kitabu chake, kuna watu wana hoja za kipumbavu eti ana mema yake kwani ni nani aliyewaambia Hitler na Idd Amin hawakuwa na mema?

Kwa washamba wa miundombinu waende South Africa waone jinsi Makaburu walivyoijenga South Africa mpaka inazizidi nchi nyingine za ulaya, Kwa nini hawajiulizi mbona bado watu wamekataa utawala huo mzuri wa makaburu?

Nyie bana endeleeni Kikamba asali kibuyu baada ya kibuyu. Ukishiba ulale. Nanyi mtaandikiwa vitabu vya urefu wa kamba na asali.
 
Na sio kila adui anapatikana kwa ubaya wako unaweza ukapata maadui kwa mema yako
Na hata hao watu ambao wako karibu na watu ambao jamii kubwa inawachukia kutokana na ukatiri wao, nao hutumia hoja hizo hizo
 
Sawa alikuwa dikteta na jambazi na muuwaji, sasa kutumia muda mwingi kuzungumzia hayo mabaya yake (kuliko kuzungumzia mabaya yaliyopo sasa) je kunaleta faida au ni suala kihisia kupunguza hasira?
Naona wanapunguza hasira tu wala hakubadilishi chochote, naona wanajistess maana wakiona mtu kaandika mazuri ya Magufuli wanajaa gesi kuandika aya ndefu ndefu, wanahitaji mwanasaikolojia ujue hawajui hawako OK.
 
Matola na tindo wao hata waume zao wakishindwa kusimamaisha ili wawapande humsingizia Magufuli!

Tindo yeye stress anadai kwamba Magu alimfanyia ukatili mkubwa.
Hawa kama ni wanaume sijui walitendwa nini [emoji23] [emoji23] maana wasiseme eti Beni hapana wanauchungu huooo pole zao aisee hua na check Aya wanazoshusha hadi uvivu kuzisoma. Kila thread inayomhusu Magufuli huwezi wakosa.
 
Back
Top Bottom