Mkoko kisu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 757
- 803
Mungu ailaze roho ya marehemu mahara pema peponi ameni
Km ivyo ndo mnataka
Km ivyo ndo mnataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hujui unachokitaka! Rudia kusoma ulichoandika!Tatizo kwenye mada za kuhusu Magufuli sijui kwa nini huwa mnapenda kuwaweka watu kwenye makundi mawili tu kwamba kuna wenye kupenda kuona yanaelezwa mabaya tu ya Magufuli na wasiopenda kuona yanaelezwa mabaya ya Magufuli? Hii mada inahoji tunafaidikaje kwa kutumia muda mwingi kueleza mabaya ya Magufuli kuliko hata mabaya yanayotendeka sasa? Hivyo ni kujadiliana katika hilo ila kwa bahati mmetafsiri kama labda mnataka kuzuiliwa msieleze mabaya ya Magufuli.
Kama tutaendelea kutengeneza huu mvutano wa kwamba et wewe eleza mazuri kama yapo na mie nitaeleza mabaya tu basi sidhani kama tutafaidika na lolote kwenye hii mijadala, hii ni sawa na ushabiki wa Simba na Yanga.
Waziri Nape amekuwa anatoa majibu ya dharau kwa wananchi wanapohoji masuala ya msingi kwenye wizara yake, Nape anajua hamna la kumfanya nyie mpo busy kueleza mabaya ya Magufuli. Lakini pia kuna Waziri Makamba na Mwigulu wote wamekuwa wakionyesha viburi wazi wazi. Binafsi nachokiona funzo litakalopatikana ni kwa ccm kuzingatia asije tena mtu kama Magufuli ambaye atawagusa hadi watoto wa mjini wenyewe chama chao.Wataje kwa majina acha kuelea hewani bwana Mzee JF Ni GT forum!
Nilichokielewa ni kwamba kumbe zinatumika hisia zaidi kwenye hii mijadala, kwamba kwa sababu mie sikumpenda aliiba kura basi nitaeleza mabaya yake tu kwa sababu simpendi na mwengine kwa sababu sikupendezwa na kauli zake basi nitaeleza mabaya yake tu sitamzungumzia tofauti na mabaya yake.Nadhani hujui unachokitaka! Rudia kusoma ulichoandika!
Magufuli alikua kiongozi wa kisiasa na sio kiongozi wa Parokia!
Kwenye siasa Kuna watu walimchagua na Kuna watu hawakumchagua, Kuna watu aliwaibia kura zao kwa lazima hawatampenda kamwe!
Kuna watu wakifurahishwa na alivyoumiza watu kwa matamshi yake binafsi yasiyoendana na Mila na desturi zetu za kitanzania hawatamsifia Wala kumpenda!
Unapoona watu wengi wanapiga mayowe na kulalamika juu ya ufidhuli wake! Ujue mabaya yalizidi mema! Vumilia tu mzee
Hizo sio hisia huo Ni uhalisia unapenda na established facts na sio hearsay's! Hisia Ni feelings hapa hakuna feelings Ni ukweli! Na huwezi kumpangia mwanadamu namna ya kukutazama!Nilichokielewa ni kwamba kumbe zinatumika hisia zaidi kwenye hii mijadala, kwamba kwa sababu mie sikumpenda aliiba kura basi nitaeleza mabaya yake tu kwa sababu simpendi na mwengine kwa sababu sikupendezwa na kauli zake basi nitaeleza mabaya yake tu sitamzungumzia tofauti na mabaya yake.
Ushasikia wanasiasa wa Ujerumani wakishinda majukwaani kulaani utawala wa Hitler? Hata hapo Uganda nitajie mwanasiasa anayeimba habari za Idd Amin!Ila kumtaja Idd Amin kwa mabaya au Hitler?
Ushasikia wanasiasa wa Ujerumani wakishinda majukwaani kulaani utawala wa Hitler? Hata hapo Uganda nitajie mwanasiasa anayeimba habari za Idd Amin!
Mwanzisha mada anamaanisha Magufuli ameshatangulia hakuna tunaloweza kubadili lakini waliohai ndio wanaowajibika sasa! Kila mabadiliko tunayotaka Magufuli hawezi kutusaidia bali Mama Samia.
Ila inaonekana kumtukana Magufuli ni kama ajenda ya kimkakati! Bahati mbaya wananchi wa kawaida wanaamini hivyo pia.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa Ana sympathy Sana hajui anachoteteaKaa pembeni kule
Wewe usiwapangie watu cha kuandika humu kama wewe humsemi kimpango wako. Kaa pembeni kuleee [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Kuna waovu wangapi duniani wanashabikiwa au muovu lazima awe kiongozi wa nchi?
Huyu naye ni mmoja wa wale wahamiaji haramu kama alivyokuwa yule mwovuHuyu jamaa Ana sympathy Sana hajui anachotetea
Leta ushahidiYule mzee alikuwa Muuaji na halitapingika hilo,,, shetani kabisa Yule tutamlaani kila siku na kuanika mabaya yake hadi vizazi vijavyo vijue kweli tuliwahi kuwa na Shetani Ikulu
Ok wakishajua alikuwa mwizi na muuwaji halafu ndio nini? Kwa sababu kabla ya Magufuli walikuwepo majizi na miuwaji ila hakuna walichofanywa, sasa hao wajinga wakishajua kama mnavyojua nyinyi kwamba marehemu(hayupo tena) nae alikuwa mwizi na muuwaji kama wengine ndio tunafaidika nini kama taifa?
Tufanye mkafanikiwa kuwashawishi watu wote kuona kwamba Magufuli hakufanya zuri hata moja yote mabaya, baada ya hapo ndio mtakuwa mmefanya kipi cha maana au inakuwa mmemshinda marehemu?
Huyo Magu inabidi mabaya yake yaendelee kutajwa na ikibidi yaingizwe kwenye mitaala wanafunzi hata wa vizazi vijavyo wayasome mabaya yake kama wanavyosomwa akina Hitler, Mussolini au aliyekuwa jirani hapa Idd Amin Dada.Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.
Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.
Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.
Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.
Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.
Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.
Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.
Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.
Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.
Acha nipumzike SASA.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Ujerumani ipi, labda kwa neo Nazis lakini kwa majority ya Wajerumani hawamkubali.Ujerumani Hitler ni kiongozi shujaa.
Ni kama Ghadafi tuu
Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.
Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.
Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.
Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.
Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.
Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.
Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.
Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.
Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.
Acha nipumzike SASA.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Wewe unataka ushahidi kama nani? mkyundyu weweLeta ushahidi
Acha nipumzike SASA.